Ghost Rider Umejificha wapi, Mijadala ya Bunge tunaikosa sie tulio mbali na tv

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,338
Ghost Rider ulikuwa unafanya kitu ambacho hakijawahi kufanywa na member yoyote humu JF, kwa kutuletea habari za bunge kwa ufasaha na bila ya kumung'unya maneno mpak wengine tukawa tunajisikia kama tupo kwenye Radio ya JF kumbe ni tupo kwenye mtandao. Popote ulipo Ghost Rider tunaikosa mijadala ya Bunge na tunakumis. JF inahijitakuwa na Members kama Ghost Rider

GR umejificha wapi?
 
Back
Top Bottom