Kwa sasa bado ninaamanini kuwa Dr. Shein (kama alivyokuwa aliyemtangulia Dr Omar-RIP) angeweza kuwa rais mzuri wa Jamhuri ya Muungano baada ya Kikwete.
Ninafahamu kuwa Bilal alikuwa senior lecturer wa physics au mathematics hapo UDSM miaka ya themanini kabla hajawa katibu mkuu wa wizara ya elimu ya juu alikokuwa na Mkapa. Sikuwahi kumfahamu wakati akiwa UDSM ila nilikuwa na mixed assessment kuhusu utendaji wake pale waizra ya elimu ya juu na mpaka leo sikumbuki jambo la maana alilofanya kukabiliana na migogoro katika waizara hiyo ya elimu ya juu. Baada ya kuhamia katika serikali ya Zanzibar, sikuwahi kumfuatilia tena kuhusu utendaji wake hivyo nitabaki na mixed views hadi nione utendaji wake. Kwa sasa bado ninaamanini kuwa Dr. Shein (kama alivyokuwa aliyemtangulia Dr Omar-RIP) angeweza kuwa rais mzuri wa Jamhuri ya Muungano baada ya Kikwete.
Jamanihein zote hizo ni mbinu za CCM kupata kura Unguja,maana Shein Pemba ni kapa kabisa,na ZNZ walishasema kabisa wanataka Billal,kakosa Urais Znz,sasa imebidi apewe VC hiliz kutafuta kura zr ba Unguja vinginevyo SEIF angepeta kirahisi sana,lakini swali ni Dr Bilal na Jk wataiva chungu kimoja,kwani mitazamo yao ni tofauti kabisa kulia na kushoto- basi tusubiri na tuone.Hata Galib akutegemea kuwa atakuwa MGOMBEA MWENZA ndio maana jana alistuka sana,baada ya jina lake kutajwa.Siasa za Tz NI FITINA TUPU afadhali huu kuliko tuliekuwa tunamsikia Zakia M,maana yeye ni si mtu wa kupigwa changa la macho kwenye EPA.
..Huuu ni ujinga ...kabisa ...yaani nafasi muhimu kama makamu wa rais tunaitumia kupoozana....waste!!!waste kabisa!!!!...kwani angempa ubalozi kama mapuri ingekuwaje???
Tunaongelea makamu wa rais mtu ambaye anaweza kuwa rais likitokea lolote kikatiba kwa jk...tunaweka mtu cheo kwa kupoozana.....bilal hafai...kama zanzibar wanamtaka huko maskani kisonge ...huku bara hatumtaki..!!!
wakati akiwa pale wizara ya science kama katibu mkuu...alihusika sana na corruptions za kutoa scholarships..waliosoma INDIA,UK ,CANADA etc miaka ya 90s kwa udhamini wa serikali wanakumbuka madudu yake huyu !!
JK ALISTAHILI MSAIDIZI MAKINI ...SIO POLITICAL AMBITIOUS CROOK KAMA BILAL!!!
Mwana JF,
Huyu Dr. M.G.Billal ni msomi na sio Docta wa mifugo kama hawa waliomtanguliwa au JK aliyerushiwa Taulo, CV yake kitaaluma imekaa sawa. Ila hee ni mbabe wa kupindukia, jeuri ya shule, mbaguzi, uzanzibari, udini, n.k.
Ngoja niwape kidogo. Akiwa katibu mkuu wizara ya Sayansi na Elimu ya juu na Ben. Mkapa akiwa waziri mambo yalikuwa hayaendi kwani anachosema waziri akija katibu anapinga mbele yake na maneno ya kejeli. Nikiwa mmojawapo wa deligate iliyokuwa inashughulikia madai mbali mbali ya wanafunzi wa UDSM tulikuwa tunaenda wizarani kukutana na hawa watu, nakumbuka 1994 May, wanafunzi wa OFF COMPUS walikuwa wanadai malimbikizo yao ya OFF COMPUS allowance na wliahidiwa na Waziri kuwa malipo yatafanyika mchana kitu ambacho hakikuwa na kesho yake wanafunzi wakarudi kufuatilia ambapo Waziri alisema hebu nikamuulize Katibu kwani haikuwa effected. Jibu mbele yangu "Nani kasema kuna pesa ya kulipa? Mtendaji ni mimi achana na huyu mwanasiasa, nasema pesa hakuna, serikali haina pesa. Nenda kawaeleze wenzeni" Waziri (Ben) alikasirika na kusema "Anayetaka kusoma asome asiyetaka aache siwezi kutukanwa as if pesa napeleka kwenye familia yangu na muelewe serikali ya sasa hivii ni ya WAZANZIBAR, nawaruhusu fanya mnachoona kinafaa" Mwisho wa siku hiyo eneo la Wizara lilikuwa halitamaniki kwa virungu vya FFU. Ushahidi muulize RUGEMEREZA NSHALA, (Wakili) na wengine walioishia kulazwa muhimbili kwa kipigo nje ya ofisi ya Billal. Sio hapo tu, Prof. Mahalu (Director working with Billal by then) alifukuzwa ofisini kwa Katibu akiwa anafuatilia majina ya scolarship yaliyobadilishwa kutoa wa Bara na kuweka wazanzibar. TUMEKUFA OIC, UDINI, UBAGUZI, n.k. VIPO MLANGONI.
Kwa bara sio sensitive kiasi hicho maana majukumu ya makamu wa raisi kikatiba nadhani hayako wazi sana. Kwa hiyo ni rahisi kumbana asifurukute kwa Mheshimiwa JK. Atabakiki kukata utepe tu. Kwa hiyo ni njia rahisi ya kumbana ili muungano wetu udumu daima
lakiini kwa namna alivyoonyesha tamaa ya madaraka anaweza hata akawa hatari kwa rais wetu....kwani anajuwa kuwa ..if anything happens to the president ...he is the interim president ...sasa nafasi adimu ya namna hii kwa nini tupeane kwa kupoozana...its the guy to watch....amekuwa power hungry sana!!!
ni hulka kwa makamu wa rais popote duniani kuwa act low profile...lakini ni nafasi inayohitaji busara kuliko yeyote ........ndio maana lazima kuweka mtu makini..angalieni Joe Baden...he is low profile but brilliant,angalieni namna J.JONATHAN wa nigeria alivyoweza kuivusha nchi kama nigeria wakati mgumu....hata SHEIN was good MKAPA alilazwa swiss for three months ...na aliporudi akawa ndani anafaya soft assignments ..confined to state house ....na shein aliongoza nchi hata mtu asijuwe kuwa mkapa aliukuwa hayupo....angekuwa ambitious angeutumia muda huo kujijenga kiutawala na kisiasa......kama lowassa alivyoshtukiwa kutumia muda mwingi rais aliokuwa akitembelea dunia[world tour] kujijenga zaidi...........for sure shein is best for zanzibar but its like a demotion..to him!!