Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,886
- 6,883
Tanzania tumezidi kulalamika mengi na laiti tungelinganisha na nchi nyingine tusingethubutu kwani kuna baadhi ni nafuu mno Tanzania kama masuala ya medication.
Watanzania naomba kujua gharama za kujifungua hospitali ni ngapi? Kuna rafiki yangu mke wake kajifungua nchini marekani na kaletewa billya $27,000. Gharama hizo kwa Tanzania mtu unafungua hospitali.
Nijulisheni jamani