Gharama za simu kwa sasa

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Wakuu nimeona siku za karibuni kama vile gharama za kupiga simu -mobile zimeongezeka. Dakika moja inalamba 500. Je wenzangu mmeliona hili au ni mimi tu ? Voda , na hata Zain.

What is happening wajameni?
 
Kwa mwendo huu ile dhana ya maisha bora kwa kila mtanzania wala haiwezi kufanikiwa.
 
Kwani we hujui ni agizo kuwa watu wote wawe na tigo!!!!!
360 tu kwa dakika. Naipenda tigo!!!!!!!!!!!!
 
Na hisia kote zitapanda kwani kuna agizo la kuchangia kampeni za 2010 ili wene kutawala waweze kufanikisha azma yao inabidi kila mwenye simu achangie pesa kuwezesha kampeni ziende vyema, ni hivyo tu wakuu.
 
Hat hiyo shilingi moja kwa sekunde ambayo itamaanisha shilingi 60 kwa dakika ni hoja/dhana isiyo na ukweli kwa MT-KCC....!Angalia salio lako kama ni sh.60 halafu uone kama utaongea dakika moja kamili ya ukweli....!Wakikupendelea sana utaongea sekunde 45.....!HAKUNA KAMPUNI MPAKA SASA INAYOTOZA GHARAMA KULINGANA NA UELEWA WA KAWAIDA WA MWANANCHI AMBAYE YEYE ALIISHIA MADARASA YA CHINI KWA SABABU TOFAUTI.....!
 
In Business ethics tunasema kuwa the purpose of any management of the firm must not only be to maximize shareholders' wealth/ Value but of most importance is to maintain stakeholders' value/wealth. Sasa hawa jamaa wanajali faida kwa board of directors na wanawasahau wadau. So it is unethical.
 
lol, mwanangu, maendeleo yamekuwahi ulikuwa bado hujajiandaa. kama unavijisent vya mawazo uza mobile uwasiliane kwa barua bana!!
posta bado zipo.
 
TCRA wanafanya nini ,sijui Professor Nkoma anachokifanya ni kitu gani,tokea kaingia yeye ni miyeyusho tu asavali Kanali aliyekuwepo hapo mwanzoni,mambo mengi hizi kampuni za simu zinafanya ndivyo sivyo,hizo product zao ndio usisema hakuna chochote,heri hata EWURA angalau tunaona juhudi zao za kuwatetea wananchi kwa kusimamia wakorofi wa oil industry na mamlaka za maji,TCRA bure kabisa
 
ni Tshs 1 kwa sekunde so s about 60 Tshs kwa dakika.

Hem mueleweshen jamaa vzuri kua gharama hii ni Tigo kwenda Tigo.

Otherwiz Tigo kwenda mtandao wowote maumivu ni yaleyale.

Damn ol th telecomms companies. Wanatengeneza pesa nyingi sana.

For our info, hata waki-halve gharama za sasa ivi bado wanapata faida ndefu tu...laana ya mungu iwashukie kwa kutukamua bila huruma.
 
Hem mueleweshen jamaa vzuri kua gharama hii ni Tigo kwenda Tigo.

Otherwiz Tigo kwenda mtandao wowote maumivu ni yaleyale.

Damn ol th telecomms companies. Wanatengeneza pesa nyingi sana.

For our info, hata waki-halve gharama za sasa ivi bado wanapata faida ndefu tu...laana ya mungu iwashukie kwa kutukamua bila huruma.

1 Tshs/ sec ni Tigo kwenda Tigo, tena VAT excluded. Lakini si sawa na Gharama ya Zain kwenda Zain au Voda kwenda Voka kama haujajiunga na Pamoja 10 au Vodajamaa, respectively. Zantel na Tigo ndio wana charge hiyo Tshs 1/sec 24/7.

Wewe bado unatumia line moja hadi leo? Endelea kuliwa.
 
ni Tshs 1 kwa sekunde so s about 60 Tshs kwa dakika.

Mkubwa, hiyo 60 kwa dkk ni bila VAT.
Dakika moja ni kama sh. 71 hivi. Hata hivyo hii ni bei rahisi ukilinganisha na gharama za mitandao mingine kama Zain ama Voda.
 
Back
Top Bottom