Mwana Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 518
- 448
Habari za Mchana wadau,Tafadhali naomba kujua gharama za matibabu nchini india kuondoa uvimbe kwenye ubongo.
Note;Nina Mdogo wangu umri ni miaka 8 ,alikuwa na tatizo la kudondoka na kupoteza fahamu,Baada ya tatizo kuzidi kuongezeka ,kama familia tuliamua kumpeleka hospital kwa ajiri ya uchunguzi.
Alipiga kipimo cha T -Scan, EEG na MRI na imeokana kuna uvimbe kwenye ubongo(Kansa). Dr amesema upasuaji unaweza kufanyika Tanzania but ameshauri tumpeleke India kwa upasuaji wa uhakika.
Naomba Kujua gharama za upasuaji India na Hospatal Ganni nzuri huko India na Kama kuna Mtu mwenye ushauri plz naomba kuupokea ,nimechanganyikiwa kwa kweli kwa hayo majibu.
Update
Habari zenu wadau
Wadau nashukuru sana kwa mawazo yenu nimefanikiwa kupata quotation kutoka hospitali ya narayana iliyopo india , vile vile nimeomba quotstion kutoka hcg hospital kuna mtu aliniambia na yenyewe ni best cancer center
Asanten