Gharama za kutoa gari bandarini

Na kama nimeagiza ki-Swift changu cha CIF $1800?
kama ni ya 2002 andaa 9m hiyo nikutoka japani hadi unaingia nayo barabarani mkuu. Hii inasababishwa na dola kupanda napamoja baadhi ya tax ziàchajiwa interm of dala.
 
Ni hiki kitu ila ni cha 1999 suzuki.jpg
 
02.jpg

Hii Swift ikipakiwa bandarini Japan, ni energy server. Mafuta inanusa tu, hata nchi zilizoendelea siku hizi wanapendelea vitu kama hivi kutunza pesa mfukoni. Hiyo mitruck mafuta ni kama shimo yanakoishia huyaoni. Hii ni 2004/5
 
usiogope mkuu hiyo ni 1000 cc sema ni turbo
 
sio swift loly...hii ni suzuki wagon R wide iko poa
aahh nimekuelewa sasa, maana kuna mtu aliniambia ameagiza kanoah kadogo chaajabu siku gari imeingia ni fine cargo nikachoka, û
nikajua na wewe ndio walewale
 
Usipokuwa mwangalifu humu JF unaweza ukawa misled.
gari ya US$ 1800 (2002) swift kwa vyovyote haiwezi kufika million 9 mpaka uwe nayo barabarani. Sana sana ni kama dola $3500. Hapo iko barabarani
 
usipungukiwe na 15m pia inategemea na aina ya gari yawezekana ikapanda hadi 16m

sijamaanisha 15m ndio kodi, hiyo nipamoja na gharama za kununua na kusafirisha na port charges, tax pamoja na agent ndio maana yangu,

wana rate zao huwezi kuestimate figure kamili, mpaka gari lifike
Mie nadhani kigezo kikubwa ni ukubwa wa engine yani cc pamoja na Manufacture year.
 
Wana JF

Najua kati yetu tumeagiza gari nje na kwa aina moja ama nyingine tumeshiriki au binafsi au kwa kumtumia agent kutoa gari bandarini.

Naomba model ya ukokotoaji wa gharama za kutoa gari bandarini. ....Nawakarisha kwa msaada

Tembelea tovuti ya TRA, wameweka formula ya kukokotoa, kila gari wamekadiria bei tofauti ambayo ndio inatumika kukokotoa VAT, Custom na Import duties.
 
0.78x5000usd=x+5000usdxtsh=unamiliki gari yako.

Kwa maana kwamba kutoka Japan hadi nyumbani kwake kabla hajaweka bima na service ya kwanza, aweke kibindoni 14,000,000/=, vinginevyo gari itauzwa bei rahisi kule bandarini.
 
0.78x5000usd=x+5000usdxtsh=unamiliki gari yako.

Spika,

Are you sure my brother? Nafikiria niagizie Harrier naogopa isije mambo kuwa upside down ikanishinda kuitoa.

Kwa ulivyosema inamaana nikiwa na 15,000,000 inaingia road?
 
Usipokuwa mwangalifu humu JF unaweza ukawa misled.
gari ya US$ 1800 (2002) swift kwa vyovyote haiwezi kufika million 9 mpaka uwe nayo barabarani. Sana sana ni kama dola $3500. Hapo iko barabarani
tatizo ni kwamba hiyo $1800 haitapigiwa hesabu kama dola 1800 wana viwango vyao kulingana na gari na gari, inawezashuka lakini sio
chini ya 8m ndugu yangu,labda kama uliagiza gari mwaka juzi ndio bei zake hizo
 
Mie nadhani kigezo kikubwa ni ukubwa wa engine yani cc pamoja na Manufacture year.
hivyo vyote vimo na mengineyo, hujiulizi kwanini watu wanakwama wakati gari imeshafika bandarini?
Unazani wanakua hawajapiga mahesabu yao kwanza na wakaona wana
hela? Mziki unakuja kwenye ukokotolewají wa hayo mahesabu bandari wana style yao na tra style yao.
 
usipungukiwe na 15m pia inategemea na aina ya gari yawezekana ikapanda hadi 16m

sijamaanisha 15m ndio kodi, hiyo nipamoja na gharama za kununua na kusafirisha na port charges, tax pamoja na agent ndio maana yangu,

hivyo vyote vimo na mengineyo, hujiulizi kwanini watu wanakwama wakati gari imeshafika bandarini?
Unazani wanakua hawajapiga mahesabu yao kwanza na wakaona wana
hela? Mziki unakuja kwenye ukokotolewají wa hayo mahesabu bandari wana style yao na tra style yao.

Hiyo itakukuta kama umeagizia gari ambayo ni unique yani Bandari/TRA hawana identical wala similar item ili kuestimate kodi. Unakuta m2 anakokotoa kodi kwa kutumia CIF ambayo iko chini sana wakati wale jamaa wana similar/Identical item ambayo wanaweza kuestimate kodi ambayo ni fair kwako kama ulizidisha CIF price na kwao kama ulipunguza sana CIF price.
 
Back
Top Bottom