Naomba kujulishwa gharama mpya za kodi kwa gari ya mwaka 2002 kuanzia July 2012. Nimeagizia Toyota vitz toka Japan hivi karibuni.
Nenda TRA Hacha uvivu
Aache uvivu gani sasa ndugu yangu? Kwani kuuliza ni kosa? Halafu unaujua urasimu wa TRA wewe hata wa kupata haya maelezo kidogo tu anayoyataka?
Kama ni vitz yenye CC chini ya 1000 na umri wake ni zaidi ya miaka 8 toka ilipotengenezwa utalipa 25% Import duty, Dumping fee 20% na VAT 18% kama ni zaidi ya cc 1000 basi utaongeza hapo 5% Excise duty, kwa kifupi tu ni kwamba jiandae kulipa kiasi almost sawa na CIF price uliyolipa.
Mkuu kilichobadilika ni kuwa "dumping fee" ambayo ni 20 % ya CIF value inahusisha magari yaliyo na umri wa zaidi ya miaka 8 badala ya miaka 10 kama ilivyokuwa hapo awali. Kodi zingine zinabaki kama kawaida.
Ndugu Mashauri nashukuru kwa maelezo yako. Swali langu ni je percentage rates zitabaki kama zamani. Angalia hapa chini:
DEPRECIATION FOR DIRECT IMPORTS
0to <1 year 10%
1 to < 2 years 15%
2 to < 3 years 20%
3 to < 4 years 25%
4 to < 5 years 30%
5 to < 6 years 35%
6 to < 7 years 40%
7 to < 8 years 50%
8 to < 9 years 60%
9 to ≤ 10 years 70%
above 10 years