Gharama za kulala Zanzibar kwa siku 5

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
40
Naomba kwa mwenye uelewa wa zanzibar anipatie majina ya hotels au lodge even beach hotels za kule ambapo naweza kukaa na kuenjoy kwa budget ones, at least isizidi $60 kwa siku.naaminia wanaJF nitapata data hizi hapa!(ni kwa watu wawili mume na mke) asanteni
 
Mkubwa Kibunango angezitupa hapa uwanjani hizo gharama maana iko siku na sie wengine tunaweza kuokota visenti tukafikiria hilo, au kama kuna anayejua amwage hapa tu wakuu
 
Du kuna jamaa anaitwa bwan kaka, huna haja ya kwenda na hela.Utalipiwa kila kitu nikupe namba yake?
 
Mkubwa Kibunango angezitupa hapa uwanjani hizo gharama maana iko siku na sie wengine tunaweza kuokota visenti tukafikiria hilo, au kama kuna anayejua amwage hapa tu wakuu

yap kweli kabisa, bora ziwekwe hapa then wengi wafaidi pia,ujue watanzania wengi tunakosa information hizi,naelewa info zilizopo ktk internet nyingi zimewalenga wageni utakuta $165,$ 280-$500,....etc.Huyu mkulu tunaomba atusaidie jamani na watz tunataka tufanye holiday kwa urefu wa kamba yetu.utalii ni wetu upo nchini kwetu lazma tuufaidi jamani,japo once per year.
 
wewe mchonganishi mpwa si tayari nimemtaka radhi mkulu japo bado kauchuna.

mkuu umeme ulikatika kama kawaida yake sasa ndo napata mda wa kukaa hme swaafi,nimekupata usimind.
but hakuna mtu yeyote bado anaejua hizi habari humu JF?duh ntaogopa sasa kama jamii hii itakosa hili, au ndo yaleyale ya kuachia watu wa nje waje kwetu tuu?ukiwa nje ya nchi kuna office unafanya booking hadi kuchukuliwa uwanja wa ndege znz,ukifika hutoi hata cent tano klabda ununue dafu ndo hakuna booking basi!mwageni habari hapa wadau!!
 
una cheti cha ndoa sio unaulizia tu afu hata ndoa hujafunga ...nakwambia zenji huingii ukiwa hivyo..............
Naomba kwa mwenye uelewa wa zanzibar anipatie majina ya hotels au lodge even beach hotels za kule ambapo naweza kukaa na kuenjoy kwa budget ones, at least isizidi $60 kwa siku.naaminia wanaJF nitapata data hizi hapa!(ni kwa watu wawili mume na mke) asanteni
 
una cheti cha ndoa sio unaulizia tu afu hata ndoa hujafunga ...nakwambia zenji huingii ukiwa hivyo..............

nina ndoa hai mkulu shaka ondoa,humu jf kwa kukimbia sasa hakuna hata mmoja mwenye hii habari?duh kunatisha sana kwa mtindo huu,watu tunajua tu pombe,mapenzi,ujambazi, kuchonga ,kulalamika,kuiibia serikali mapato na ufisadi, kweli hii ndo tanzania!!
 
dollar 60 a day, kwasasa zanzibar unalala katika hoteli nzuri tu, kwa mfano tembo hotel hipo bomba tu kwa hela hiyo utalala, kama unataka kwenda mabeach nenda kendwarock north ama kama east nenda bwejuu blueoyster. ama labda mkuu kama unaitaji five stars hotel hizo nilizotaja hakuna-
 
Naomba kwa mwenye uelewa wa zanzibar anipatie majina ya hotels au lodge even beach hotels za kule ambapo naweza kukaa na kuenjoy kwa budget ones, at least isizidi $60 kwa siku.naaminia wanaJF nitapata data hizi hapa!(ni kwa watu wawili mume na mke) asanteni
Bajeti nzuri, unaweza kuenjoy pasipo shaka katika maeneo mengi uliyo yakusudia. Ila kuja hapa na listi ya hotel na viwango vyake ni kazi ndefu. Unaweza kufanya booking yako kupitia hapa na utapata kila aina ya ushirikiano. Karibu
 
Back
Top Bottom