Gharama za kuishi hotelini

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Kama mbunge analala hotelini kwa 50,000 kwa siku,je,inagharimu kiasi gani kwa wabunge wetu 350*50,000kwa siku*siku za vikao vya bunge*miaka5??

Hivi ni kwa nini serikali isiingie mkataba na NSSF ikatenga pesa ikajenga nyumba za wabunge zikaweza kuwahudumia wabunge wetu kwa miaka mingi tu kuliko kuendelea kuwahifadhi wabunge wetu mahotelini,huu nao si upotevu wa pesa ya umma?

Nawasilisha wanajamvi
 
Tunahitaji pesa kiasi gani kulifanya hili?
 
wabunge wetu waongo mbona wanalala fifty six hotel gharama yake ni 15000 single na vyumba poa
 
Mbunge aliyesema sh 50000 kulala muongo wanalala fifty six Hotel bei 15000 tu kwa siku
 
Jamani nimeanza kusikia habari za maadhimisho ya ukimwi. lakini serikali mbona inatuchanganya maana haitaki kutoa ripoti kama Babu anatibu au hatibu na kama anatibu maadhimisho ya nini? na kama hatibu serikali imejidhalilisha tena poleeeeeeeeeeeeeeeeee, kweli fikra zimeganda viongozi wetu au wachangaaji mnasemaje?
 
Back
Top Bottom