gharama za kuandaa proposal ya research

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,555
habari za saa hizi wanajamvi..
naomba kuuliza kwa wanafahamu au wenye uelewa wa gharama za kuandika hii proposal ya watoto wa mtaani (waishio mazingira magumu) ni kiasi gani?
Natanguliza shukrani..
 
Mkuu sijakuelewa.., unataka gharama za kumpa mtu akufanyie research au gharama utakazo-incur kwa wewe mwenyewe kufanya.. kama ni wewe ni simple, alafu kumbuka proposal ni kwamba unaandika ni nini utakachofanya, kwahiyo hapa unakuwa haujafanya research yenyewe yaani kutafuta data:-

Lakini gharama za full research itategemea unaifanyia wapi ambapo ita-include
  • stationary
  • secretarial services
  • transport
  • food
  • na kama utaenda mbali na unapokaa (accomodation)
lakini a shortcut ongea na hizi NGO's za watoto wa mitaani kama Kuleana e.t.c nadhani watakuwa na ready made data ambazo zitapunguza kazi yako
 
Mkuu sijakuelewa.., unataka gharama za kumpa mtu akufanyie research au gharama utakazo-incur kwa wewe mwenyewe kufanya.. kama ni wewe ni simple, alafu kumbuka proposal ni kwamba unaandika ni nini utakachofanya, kwahiyo hapa unakuwa haujafanya research yenyewe yaani kutafuta data:-Lakini gharama za full research itategemea unaifanyia wapi ambapo ita-include
  • stationary
  • secretarial services
  • transport
  • food
  • na kama utaenda mbali na unapokaa (accomodation)
lakini a shortcut ongea na hizi NGO's za watoto wa mitaani kama Kuleana e.t.c nadhani watakuwa na ready made data ambazo zitapunguza kazi yako
asante mkuu kwa ushauri wako ila ninataka kufanya mwenyewe kwa hyo nilikuwa na hitaji itanicost shilingi ngapi..
 
asante mkuu kwa ushauri wako ila ninataka kufanya mwenyewe kwa hyo nilikuwa na hitaji itanicost shilingi ngapi..

pia gharama zitategemea na vitu kama
sample size....ikiwa kubwa sana it means more money katika kuandaa research instruments na cost za ukusanyaji data
aina ya study....mfano ukifanya longitudinal study hii inachukua muda mrefu kuikamilisha so more money

kingine nje ya gharama nachokuuliza hujasema hasa research problem yako ni kipi hasa unachohitaji kukistudy toka kwa hao watoto wa mitaani kwani hapo kuna maelfu ya topic unazoweza kustudy.
 
proposal ya research ndo mama ya kila kitu manake inakupa kila kitu cha kufanya,kifanyikaje na output gani. inategemea na intensity ya research manake ndo itaamua ifanyike kwa kiasi gani. watu wengi wanachaji kwa man-days watakazotumia pamoja na gharama za kupata materials za kisayansi(references). watu wengine wanachaji kwa % ya total budget. u can pm for further negotiations.
asante mkuu kwa ushauri wako ila ninataka kufanya mwenyewe kwa hyo nilikuwa na hitaji itanicost shilingi ngapi..
 
asante mkuu kwa ushauri wako ila ninataka kufanya mwenyewe kwa hyo nilikuwa na hitaji itanicost shilingi ngapi..

mh. hebu iweke kwanza hiyo research topic/abstract yako na useme upo tayari kutumia kiasi gani ktk project yako
 
Back
Top Bottom