Gharama za kuagiza gari ya mzigo tani 3

Brooklyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
1,459
284
Wadau habari za mchana?

Nina mpango wa kuagiza gari ya mzigo canter tani 3 toka Japan kwa ajiri ya kunisaidia katika biashara zangu. Nina maswali yafuatayo ningependa msaada toka kwenu;

1. Je ile sheria kwamba gari isizidi umri wa miaka kumi la sivyo unapigwa faini ya uchakavu ina apply na kwenye gari za mizigo?

2. Je ni asilimia ngapi ya import duty inachajiwa kwa gari isiyozidi tani tatu (Canter)?

3. Je VAT ni applicable?

4. Je customs duty ni applicable na ni asilimia ngapi?

4. What are other charges/taxes chargeable?

5. Ni gari aina gani za mzigo tani tatu zinafaa zaidi kwa mazingira yetu hapa DSM?

Natanguliza shukrani!!
 
Back
Top Bottom