Gharama za harusi kwa bwana harusi

Swahiba sikuelewi vileeee kama vile na wewe ajenda yako ni moja na Lizzy

Hahahah. . . sasa we unataka asinisupport alafu kesho na kesho kutwa akose mkopo.

Hehehehe SL. . . naogopa mada kesi mie.Maana watu kwa maneno utasikia ohhh ndo alikua anamdedisha apate mali.
 
No! Swahiba mie niko upande wako daima na kuonyesha msisitizo najitolea lita 1 ya mafuta hivyo wewe nunua 99 tu...

Hahahah. . . sasa we unataka asinisupport alafu kesho na kesho kutwa akose mkopo.

Hehehehe SL. . . naogopa mada kesi mie.Maana watu kwa maneno utasikia ohhh ndo alikua anamdedisha apate mali.
Alaaaaaaa....kumbeeee...i will be right back ngoja kwanza
 
unawalisha watu kwa masaa halafu mkiamka kesho wewe na mkeo mnapiga miayo halafu watu wasivokuwa na shukrani ngoja utangaze njaa uone mauchungu utakayopokea huku wao wakiugulia maumivu ya mipombe
 
Back
Top Bottom