Gharama za harusi kwa bwana harusi

aaah!!!mbona mengiii ya kujitakiaa...niliowaa kwa msahafu na dua kama mahari,prosesii za kutambulisha haikunigarimu hata lakii,dini yetu haiitaji pete ya uchumbaa,serehe za ukumbini kwetu anasaaa,kicheniii patiii hakuna asaingizwa mwalii ndani na mkuu akafundwa,kuhusu garama za michango sikuchangiwaa..ilifanyikaa usiku watu wakanywaa kahawaa na waliii marange nyumbani ndoa ikafungwaa...asubuii niko na mkee wangu,tatinzo tunataka kufanya ndoa za kifahari na hazidumuuu
 
kheee nimegundua wakaka wengi wa jf ni wachungu.
Angalau mmenisaidia kupunguza list yangu ya potential hubbies...
kuna zile ndoa cheap za uchagani ile unabebwa juu juu usiku asubui ushakuwa mwali iyo ndo inanihusu december
 
Uwiiiiii huku kutiana umaskini huku, milioni zote hizo si umeshapandisha kajumba kako hadi kwenye lenta? Wewe mpachike mimba halafu wanakususia! Full stop! Baada ya muda unaenda sasa kulipa kidogo kidogo kwa hio hizo procedures zote zinayeyuka!!!! Utabakiwa na faini na mahari na kama vipi faini wawezaipotezea pia!!! Ila watu wa Iringa siku mkeo akifa kama hujamaliza mahari yao wanaenda kumzika wenyewe (itakupunguzia gharama pia) or else wakiwa wajanja wanakubana hadi ulipe ndio mazishi yaendelee! Yanini??
 
Halafu aje azalishwe na rafikiyo.............!!!!!!
 
kama mjanja unakaba kwenye MICAHANGO. ila ujue michango ni deni, walokuchangia na wewe utakuja kuwachangia tu.
 
heheheh. . . Usiniambie.
Kipande ipi nije na debe la mbege?
nitakupim subiri ujue inakuaje? Asubuhi kwa mvulana wanaenda tu kwetu kuwaambia jamani hee smile kalala kwetu msimtafute
then kule home wanakuja kuniuliza uko upo kwa nani ???????? Wewe utajibu nini na hapo ndo mwisho wa ndoa karibu sana
 
mie ntakuwa gate crasher, si haujanipa hata kazi ka kupiga vigelegele

Usiogope swahiba we tangaza nia mie ntajitolea ubani, lizzy mkeka, the boss mchele kg10, klorokwini nyama kg3, uporoto matango na nyanya, asprin ataleta maji kwenye madumu...king'asti atamfunda mwali na kumchora hina, bht atamwazima mwali dera, gaijin atatuletea radio na cd zote za taarab.... Ndoa tayari...kaizer atawapeleka nyumbani na kimkweche chake.
 
mie ntakuwa gate crasher, si haujanipa hata kazi ka kupiga vigelegele
Khaaa sitaki kuamini kama nimekusahau kongosho my lvly friend....

Wewe utabeba sanduku la mwali huku unasasambua....lol. TF tunamfungisha ndoa ya mkeka hivyo hakuna cha gate wala nini..
 
Ee Mungu utusamehe sisi waja wako,kwenye mchakato wa milioni kumi naa 2mekupa elfu kumi..sawa na asilimia 0.1." 2naomba usihusiku sawa na asilimia hzo kwan ndoa hyo haitadumu bali mara elfu moja ya asilimia hzo.." duu maomb mengne hata Mungu atajiuliza hv ufahamu na akili nilizowapa hawa wanavi2mia wap.!?
By the way 2mkumbuke Mungu hata kabla ya mwanzo wa jambo..!!
Tatizo tumeweka mbele kuwapendezesha wanadamu wenzetu,kuliko ukweli halisi...ndoa ni zaidi ya kwenda saloon,kuwa na msululu wa magar mia kidogo plus maufahar mengne kibao...ndoa ni ni mke na mume wakiongozwa na Mungu au shetani,hakuna neutral.!out.
 
nitakupim subiri ujue inakuaje? Asubuhi kwa mvulana wanaenda tu kwetu kuwaambia jamani hee smile kalala kwetu msimtafute
then kule home wanakuja kuniuliza uko upo kwa nani ???????? Wewe utajibu nini na hapo ndo mwisho wa ndoa karibu sana

Hahahha. . .
Ila angalau na we umeridhia, hutotekwa ukitokea bombani.

Haya unijulishe mwaya nikuletee na zawadi.
 
Back
Top Bottom