Wadau,
Hii nimeikuta kwenye facebook page ya Diwani mmoja wa chadema huko Moshi vijijini. Nikaona si vibaya nikawashirikisha. Hapo nimekopi na kupaste tu:
"Nimetoka kwenye kikao cha Baraza la Madiwani. Mfuko wa Afya: Dawa na Vifaa sh milioni 10.5, kutengeneza magari ya kusambaza na usimamizi mililion 50.7. Kujenga uwezo na mpango ml. 57. Leo nitalala nikiwaza sana. Dawa na vifaa vya mil. 10.5 kusambazwa na kusimamiwa kwa mil. 50+!!! Nimekataa!!"