Gharama ya sherehe ya harusi.

Unafanyia wapi??? Kijijini, Mjini au??? Kuna vitu vingi sana vya kuangalia ukumbi gani wa kiasi gani na mambo mengi sana
 
Nadhani ungeelezea na location ambayo itafanyikia hiyo harusi uanayotarajia ingekuwa rahisi kwa wadau wenye uzoefu kukupa details ulizoomba

wataalam, naomba mnijulishe gharama za kufanya harusi yenye wageni waalikwa 300
 
labda nkuulize una miradi gani ya kwako ya maendeleo? umejenga? una elimu nzuri?
una kazi inayokulipa vizuri? nauliza hivi kwa vile watu wengi wanawazia harusi za garama
kubwa ilhali hadi leo anakaa nyumba ya kupanga
,hana mradi wowote wkt sherehe yenyewe ni ya siku moja tu. Harusi inakuwa na maana pale unapoweza kualika ndugu na jamaa zako wa karibu mkishatoka kanisani au msikitini mkafanya sherehe kidogo imetoka .
inawezekana hapo una hela kidogo unategema watu wakuchangie wkt
mtoto wa ndugu yako aliefaulu hajaenda shule kisa hana ada.
watanzania tuamke tuache kuwazia sherehe kubwa huku tukifa maskini.
Tuige wenzetu na nawasifu kwa vile nipo huku.
hakuna kuchangia harusi,tena wao wakialikana hawazidi 50
wanakaa kwa hoteli wanakula dinner imetoka.tanzania je?
sory sina nia kukukatisha tamaa ila jiangalie ww kama ww na
sii watu waisifie harusi kubwa kumbe unabaki mkavu baada ya harusi.
 
Back
Top Bottom