Gharama ya kutengeneza kisima Dar

Mkuu candid,...
samahani kidogo,me kisima nachotaka sio cha matumizi ya kawaida ya nyumbani ila ni kwa ajili
ya ufugaji na kilimo cha mboga mboga,...so
hicho kisima chako unaweza pata kama lita ngapi za maji kwa siku?

Napia,kupata maji mengi ni kina kirefu zaidi au inategemea sehemu pia kama kuna mkondo wa maji?
 
Speaker;2337819]Mkuu candid,...
samahani kidogo,me kisima nachotaka sio cha matumizi ya kawaida ya nyumbani ila ni kwa ajili
ya ufugaji na kilimo cha mboga mboga,...so
hicho kisima chako unaweza pata kama lita ngapi za maji kwa siku?

Napia,kupata maji mengi ni kina kirefu zaidi au inategemea sehemu pia kama kuna mkondo wa maji?



Kisima changu ni cha diameter 8", na tank la liter 1000, na naweza jaza mara nne tano katika masaa 24, ni dhahiri napata lita 5000 kwa siku. Hii ni kwa matumizi ya familia na kusaidia majirani wanaonizunguka, vinginevyo lita 1000 zingenitosha kwa siku pamoja na kumwagilia bustani iliyoko ndani ya uzio wa nyumbani.

Kupata maji inategemea mkondo wa maji na hali kadhalika mazingira ambayo yana mimea inayohifadhi na kuchochea hifadhi ya maji. Kina kirefu zaidi kinafaa kwa mazingira ya dar kupata maji baridi yasiyo chumvi, lakini kama ni mbali na bahari hakuna sababu ya kuchimba kina kirefu zaidi.

Kina kirefu zaidi kinasaidia upatikanaji wa maji mengi, mabomba yanayozamiswa hukinywa ili kuruhusu maji yavujie ndani yake kutoka ubavu kando ya kisima, hivyo jinsi kina kinavyozidi kuwa kirefu hali inatoa nafasi kubwa ya maji kuwa mengi. Lakini kwa vyo vyote inategea na source ya maji yanapatikana kina cha urefu gani.

Kwa kawaida maji mengi na bora hupatikana baada ya kutoboa mwamba mgumu na pengine unalazimika kuendelea hadi mwamba unaofuata.

Cha msingi inategemea kisima chako ni shambani au ni kwenye makazi ya watu ambayo ni density. Kama ni shambani sidhani kama ni lazima kuingia gharama zote hizi kama maji yanapatikana kirahisi kwenye vijito ambako ni kuzuia na kuyasukuma yaenda uanakokusudia.
 
Nakubaliana na wengi wa waliochangia...lakini ushauri wangu ni kuwa ni muhimu ufanye survey ya upatikanaji wa maji katika sehemu yako na surveyor wako pale ubungo idara ya maji.

Kuhusu wachimbaji ungeanzia pale Ubungo nyuma ya Idara ya Maji kuna kampuni ya Dam nanihii uulize bei zao halafu linganisha na za wachombaji wengine ambao wako pale Msimbazi na wengine wako pale opp TRA long room kwa ujumla wako wachimbaji wengi tu wenye vifaa vya kisasa.

Kuhusu pump ambazo ni bora sana ni za sweden au korea lakini hizi za india na china ni mbovu sana na ningekushauri uweke pump za ndani.
 
Siyo lazima kuwa na bomba pana sana. Bomba la diameter ya 4" (100mm) linatosha kwa matumizi binafsi.
Hakikisha unakwenda chini angalao mita 20 hivi ili kukwepa maji machafu yatokayo kwenye soakaway pits
budget ya Tshs 3 -5 M itafaa.
 
Mbona kuna mafundi wengi sana njia nzuri ni kuulizia kwa jirani yako. Kwa watu waishio Ubungo na Kimara mbona ndio watumiaji wakubwa wa visima hivyo.
 
Thread nyingine zinaelimisha sana. Kila mtu anachangia anachojua.
Nikiwa kama mwana afya, naamini ni muhimu sana kupima maji, tatizo kubwa si la madini kama baadhi walivyodokeza, ila vijidudu vingi ambavyo huleta maambukizi kama aina mmoja wa bacteria aitwaye E. Coli. Unaweza ukawa na maji mengi, lakini familia ikaishia kuumwa magonjwa ya kuhara na mengineyo mengi yafananayo.
 
Nakubaliana na wengi wa waliochangia...lakini ushauri wangu ni kuwa ni muhimu ufanye survey ya upatikanaji wa maji katika sehemu yako na surveyor wako pale ubungo idara ya maji.

Kuhusu wachimbaji ungeanzia pale Ubungo nyuma ya Idara ya Maji kuna kampuni ya Dam nanihii uulize bei zao halafu linganisha na za wachombaji wengine ambao wako pale Msimbazi na wengine wako pale opp TRA long room kwa ujumla wako wachimbaji wengi tu wenye vifaa vya kisasa.

Kuhusu pump ambazo ni bora sana ni za sweden au korea lakini hizi za india na china ni mbovu sana na ningekushauri uweke pump za ndani.

Asante sana mkuu,...
mimi nahitaji kwa ajili ya shamba mkuranga na kule ni ndani sana
na vijito vinakuwepo mvua zikinyesha tu otherwise ni kiangazi mwaka mzima,....

nataka kwa ajili ya kufugia kuku na kilimo cha matunda na mboga mboga so
you can guess ni maji mengi kiasi gani ntahitaji
 
3251_3.gif



If you live in a town or city, you probably don't give much thought to how the water you use each day gets to your house. Even small villages often provide a network of supply pipes that transport water to each home in the neighborhood. All you need to know is how to open the tap at the sink.
Move a few miles out of town and the picture can change. While the inner workings are still-thankfully-invisible, your water supply is independent from the neighbor's down the road. Each home has its own well from which to draw water. More than that, each home has its own electromechanical system for getting the water from the well to the house. At the heart of each system is a pump, and the most common types are jet pumps and submersible pumps.
tb_3251_1-de.gif

Well types

In many areas of the country, finding potable water is as easy as getting out a shovel and digging a hole in the ground. Okay, maybe "easy" isn't the right word, but wherever the water table is only several feet below the surface of the ground, part of the battle may already be over. In such a shallow-well situation, lifting the water up to the house is going to be a little easier, if only because the distance you have to move it is modest.

If your area doesn't have a high water table, or if it lacks a stable supply of potable water near the surface, you must dig deeper to achieve the same result. And because a deep well means that the water has to be lifted farther, the strategies for moving it change.



Shallow-well pumps

These days, the most common pump for a shallow well is a jet pump. Jet pumps are mounted above the well, either in the home or in a well house, and draw the water up from the well through suction (see Single-Drop Jet-Pump System diagram on next page). Because suction is involved, atmospheric pressure is what's really doing the work. Think of the system as a long straw. As you suck on the straw, you create a vacuum in the straw above the water. Once the vacuum is there, the weight of the air, or atmospheric pressure, pushes the water up the straw. Consequently, the height that you can lift the water with a shallow-well jet pump relates to the weight of the air. While air pressure varies with elevation, it's common to limit the depth of a jet-pump-operated shallow well to about 25 ft.

Jet pumps create suction in a rather novel way. The pump is powered by an electric motor that drives an impeller, or centrifugal pump. The impeller moves water, called drive water, from the well through a narrow orifice, or jet, mounted in the housing in front of the impeller. This constriction at the jet causes the speed of the moving water to increase, much like the nozzle on a garden hose. As the water leaves the jet, a partial vacuum is created that sucks additional water from the well. Directly behind the jet is a Venturi tube that increases in diameter. Its function is to slow down the water and increase the pressure. The pumped water–new water that's drawn from the well by the suction at the jet–then combines with the drive water to discharge into the plumbing system at high pressure.

Because shallow-well jet pumps use water to draw water, they generally need to be primed–filled with water–before they'll work. To keep water in the pump and plumbing system from flowing back down into the well, a 1-way check valve is installed in the feed line to the pump.


Breaking the depth barrier

Unfortunately, you may have to go a little deeper than 25 ft. for your water. Surprisingly, you can still do it with a jet pump. It simply involves separating the jet from the motor and impeller housing and placing the jet assembly down in the water (see Double-Drop Jet-Pump System diagram). In a typical deep-well jet-pump configuration, one pipe mounted to the impeller housing drives water down into the jet body that's located about 10 to 20 ft. below the minimum well water level. A second pipe connects the output side of the jet body back to the pump.
At the jet, the increase in water velocity creates the partial vacuum that draws standing well water into the second pipe and then back into the pump and plumbing system. Deep-well jet pumps use both the suction at the jet to bring water into the system and pressure applied by the impeller to lift the water.

To prevent overpumping the well, a deep-well jet-pump installation may include a 35-ft.-long tailpipe. It's connected to the intake end of the jet housing and extends down into the well. If the water level dips below the level of the jet housing, the pump operates in the same manner that a shallow-well pump does. While flow rate drops off, water will be available until the level drops below about 25 ft. from the jet housing-the limit for a shallow pump. The 35-ft.-long tailpipe effectively ensures that the well will never be pumped out. Of course, the height of the jet over the water level affects performance. The farther away it is, the less efficient the pumping becomes.

Like shallow-well systems, a jet pump in a deep-well system needs to be primed to operate. A foot valve at the bottom of the well piping prevents water from draining from the pipes and pump. Jet pumps that have two or more impellers are called multistage pumps.



Moving to the source

While a jet pump can reliably handle a well several hundred feet deep, a more effective solution is to move the pump down into the well so, instead of lifting the water, it's pushing it up. A typical submersible pump is characterized by a long cylindrical shape that fits inside the well casing. The bottom half is made up of a sealed pump motor that is connected to the aboveground power source and controlled by wires. The actual pump half of the unit is comprised of a stacked series of impellers-each separated by a diffuser-that drives the water up the pipe to the plumbing system.

In modern installations, the well casing outside the home is connected to the plumbing system by a pipe that runs beneath the ground to the basement (see Submersible Pump System diagram). This horizontal pipe joins the well pipe at a connector called a pitless adapter. The function of the adapter is to permit access to the pump and well piping through the top of the well casing, while routing water from the pump into the plumbing system.

While submersible pumps are more efficient than jet pumps in delivering more water for the same size motor, pump or motor problems will necessitate pulling the unit from the well casing-a job that's best left to a pro. However, submersibles are known for their reliability and often perform their role 20 to 25 years without servicing. Submersible pumps may also be used in shallow wells. However, silt, sand, algae and other contaminants can shorten the pump's life.



Common elements

No matter what kind of system you have, the components on the output side of all pumps are similar.

Pumps are not intended to run continuously, and they don't start each time you open a tap or flush the toilet. In order to provide consistent water pressure at the fixtures, the pump first moves water to a storage tank. Inside a modern tank is an air bladder that becomes compressed as the water is pumped in. The pressure in the tank is what moves the water through the household plumbing system.

When the pressure reaches a preset level, which can be anywhere from 40 to 60 psi, a switch stops the pump. As water is used in the home, pressure begins to decrease until, after a drop of about 20 psi, the switch turns on the pump and the cycle is repeated. You'll find the pressure gauge mounted on the tank with wires leading to the switch that controls the pump.


lg_3251_2_lg.gif

3251_3.gif



Read more: Water Well Pumps and Systems - How a Water Well Pump Works - Popular Mechanics
 
Thread nyingine zinaelimisha sana. Kila mtu anachangia anachojua.
Nikiwa kama mwana afya, naamini ni muhimu sana kupima maji, tatizo kubwa si la madini kama baadhi walivyodokeza, ila vijidudu vingi ambavyo huleta maambukizi kama aina mmoja wa bacteria aitwaye E. Coli. Unaweza ukawa na maji mengi, lakini familia ikaishia kuumwa magonjwa ya kuhara na mengineyo mengi yafananayo.

Wengi wetu tunalijua hilo, ila kinachojadiliwa hapa kwanza gharama nafuu ya uchimbaji visima na taratibu zake. Unapima maji, kama hujapata maji utapima nini?

Kama we mwana afya hata maji ya NUWA ni machafu ila kuna njia wanazofanya kuyasafisha na kuua vidudu ili yatumiwe na binadamu, na hilo lawezekana kwa mtu binafsi. Tatizo kama maji yana madini ambayo ni hatari kwa afya ya binadamu hapo ni jambo la msingi la kuzingatia lakini hili la vidudu shida ndogo kuishughullikia.
 
tb_3251_1-de.gif


Pump aina hii za kuzamisha ndani ya kisima zinasumbua sana na kuongeza gharama za kubadilisha parts kila kukicha. Nilitumia pump ya aina hiyo hadi nikachoka.
Nikaamua kubadilisha kuweka pump ya kuvuta maji badala ya pump ya kusukuma. Pump ya kuvuta maji kwa kuwa iko nje ya kisima cha maji na haiathiriwi na unyevu, maji na mitikisiko hudumu muda mrefu na haina parts nyingi na delicate kama ilivyo ya kuvuta maji inayozamishwa ndani ya kisima. Hayo ni mang'amuzi yangu binafsi maana maisha ni mwalimu.
 
tb_3251_1-de.gif


Pump aina hii za kuzamisha ndani ya kisima zinasumbua sana na kuongeza gharama za kubadilisha parts kila kukicha. Nilitumia pump ya aina hiyo hadi nikachoka.
Nikaamua kubadilisha kuweka pump ya kuvuta maji badala ya pump ya kusukuma. Pump ya kuvuta maji kwa kuwa iko nje ya kisima cha maji na haiathiriwi na unyevu, maji na mitikisiko hudumu muda mrefu na haina parts nyingi na delicate kama ilivyo ya kuvuta maji inayozamishwa ndani ya kisima. Hayo ni mang'amuzi yangu binafsi maana maisha ni mwalimu.

Mkuu, hiyo pump ya kuvuta maji ina uwezo wa kuvuta maji ya kina kirefu zaidi ya mita 80?
 
Wadau kuna yeyote ambaye amechimba kisima na hao jamaa wa Drilling and Dam Construction Agency (DDCA) wa ubungo? Naomba atupe tathmini yake kama wanafaa (kwa kufanya survey na kisha kuchimba). Watu wamezungumzia diameter ya kisima, kisima kikubwa kabisa (kulingana na mabomba yaliyopo sokoni) ni kipi? Mfano kama nahitaji kisima kwa ajili ya biashara (kama nahitaji maji mengi sana) nahitaji kuchimba kisima cha diameter kiasi gani?
 
Kwa wale wenye mashamba na mifugo, nilibahatika kumpata mchimbaji kutoka Kigamboni, huyu bwana nilimfahamu kupitia jukwaa hili. Kisima alichonichimbia ni cha ringi kina urefu wa ft 60, kwa saa moja kinatoa maji lita 2000. Gharama yake ni 950,000/=

Anaitwa Mzee Madomado 0786 796571 au 0768 607161

Bado sijapata pump ya kuvuta maji, tafadhali kama yupo mwenye ujuzi wa pump anifahamishe kwa eneo lisilokuwa na umeme.
 
Wana JF Naomba kama kuna anayefahamu gharama za kuchimba kisima kwa Dar
anipe picha kamili,ikiwa nikuanzia kupima mkondo maji,Site ni Bunju karibu na mpiji
natanguliza shukrani.

Ukikosa kote tafuta kitope!! tembelea shamba yangu wewe one mwenyewe ile inazungumzwa. vijana ilibidi niliwaongeza posho kidogo kutokana na kazi yao nilivyoipenda na ujasiri wao wa kupiga kazi bila kupoteza muda chini ya mti.
 
Kwa wale wenye mashamba na mifugo, nilibahatika kumpata mchimbaji kutoka Kigamboni, huyu bwana nilimfahamu kupitia jukwaa hili. Kisima alichonichimbia ni cha ringi kina urefu wa ft 60, kwa saa moja kinatoa maji lita 2000. Gharama yake ni 950,000/=

Anaitwa Mzee Madomado 0786 796571 au 0768 607161

Bado sijapata pump ya kuvuta maji, tafadhali kama yupo mwenye ujuzi wa pump anifahamishe kwa eneo lisilokuwa na umeme.


Mkuu ulimaanisha mita 60 au futi 60? Maana futi 60 ni sawa na mita 18 tu naona kama ni kifupi sana. Kuhusu pump sehemu isiyokuwa na umeme inabidi uwe na generata au solar maana pampu zote zinahitaji umeme ili ziweze kufanya kazi.
 
Ushauri wote ni mzuri wala haina ubishi. Mwenzetu aliyeleta mada hii anaonyesha yeye ni mjasiliamali. Sasa mojawapo ya sifa za mjasiliamali ni kubana matumizi. Na eneo husika amesema ni Bunju-Mpigi ambako mahala ambapo nahisi hata wateja wa maji ni wachache sana kwa sasa kama wapo. Labda tu nishauri kwamba; kama uwezo unaruhusu basi kafuate utaratibu rasmi wa kupima na kuchimba, lakini kama ni mtanzania mlipa kodi wa kawaida, watumie hao vijana uokoe pesa nyingi ili zinunulie vipuri vinginevyo kama pump, tank, bomba n.k. Muhimu ni kwamba akisha maliza achukue sample akapime ktk maabara binafsi kabla ya kuonja wala kunywesha mifugo. Ni jambo la kawaida sana hata wale vijana wenyewe watakushauri vizuri maana sio tu wanatoa huduma hii kwa wenye mtaji mdogo tu bali hata wenyenazo. Ndiyomaana uliona hata loliondo kwa babu walimiminika wengi wakiwemo masikini na matajiri wenye uwezo wa kujitibia Ulaya na Marekani.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom