Gharama umeme wa jua

aspen

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
501
165
Ningependa kufahamishwa gharama halisi ya kufunga umeme wa jua utakaoweza kuwasha taa zote za ndani ,jokofu tv na jiko itagharimu sh ngapi kuufunga
 
Ningependa kufahamishwa gharama halisi ya kufunga umeme wa jua utakaoweza kuwasha taa zote za ndani ,jokofu tv na jiko itagharimu sh ngapi kuufunga
Ungefafanua taa ngapi na aina gani, jokofu na jiko watt ngapi, Tv aina gani LCD au CRT, ndipo mahesabu yanaweza kuwa calculated.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom