Gharama nafua za kuprint kwa wanafunzi na taasisi mbalimbali

SUYA

Senior Member
Jun 24, 2009
131
21
TIFFANY SECRETARIAL SERVICES
SINZA,MAPAMBANO MAFREM YA BLUU .OPPOSITE LULU & UTOJI SOCIAL HALL.

PRINTING BLACK A4 = 100
PRINTING BLACK A3 =300
PHOTO COPY A4 = 50
PHOTO COPY A3=100
PIA TUNA PRINT A 3 COLOURED

AINA MBALIMBALI ZA HP CARTRIDGE

n.b. KAZI ZA TENDA KAMA SPIRAL BINDING, PRESS BINDING ZA SEMINA ,MIKUTANO , MASHULE, NA TAASISI MBALIMBALI ZINAFANYIKA KWA MAKUBALINO YA BEI YA PUNGUZO MAALUM.TUNAUWEZO WA KU PRINT A4 HADI TSH 50/= KWA KAZI KUBWA.UNAPATA COMPUTER BURE KUREKEBISHA KAZI YAKO. KARIBUNI SANA

MUDA WA KAZI
02:30 ASUBUHI-04:00 USIKU
 
Hi Suya

Asante kwa taarifa, ningekuwa Dar ningetamani kufika kwako na kupata huduma hii.

Natamani kujua unatumia machine aina gani (specification) za printer na Photocopy machine ambazo unaweza ukacharge bei hizi na still ukapata faida.

Nitashukuru sana kujua hizi machine ulizonazo na gharama zake ikiwezekana ili nikusanye na mimi nguvu ya kununua vifaa hivi.

Be blessed.
 
Ni pm nitakusaidia ushauri
hi suya

asante kwa taarifa, ningekuwa dar ningetamani kufika kwako na kupata huduma hii.

Natamani kujua unatumia machine aina gani (specification) za printer na photocopy machine ambazo unaweza ukacharge bei hizi na still ukapata faida.

Nitashukuru sana kujua hizi machine ulizonazo na gharama zake ikiwezekana ili nikusanye na mimi nguvu ya kununua vifaa hivi.

Be blessed.
 
Asante sana kwa taarifa nimeangaika sana mitaa ya sinza kutafuta hudumaya bei nafuu kama hii.kwani bei zenu sawa na za chuo kikuu je? printing yenu ni quality? Au ndo kama zile za mtaa wa jangwani kkoo?
 
Uwapo tiffany secretarial services
utapata huduma za internet yenye speed nzuri
gift items za aina mbalimbali
mahitaji yote ya stationery
 
Je mnafunga zawadi kama za harusi graduation na nyingine .maana ninataka kufunga zawadi za send off leo.plz nipatie no ya cm ili nikifika hapo nikucheki au nitafikaje baada ya kuwa hapo lulu
 
Tunafunga aina zote za zawadi na za ukubwa wowote.
Ukifika lulu uliza tu tiffany stationery utaonyeshwa asante
 
hehe suya muoga...toa namba ya simu hiyo wewe!,Ujasiriamali mchezo
 
POA MAN HONGERA KWA KUTUFUNGUA MACHO:israel: NAONA UMEWEKA MUDA WA KAZI BILA SIKU UNAFANYA KAZI HATA WEEKEND?
 
Suya asante sana kwa huduma zenu.hatimae nimefanikiwa kumaliza kazi iliyokuwa inanitatiza .sasa ndugu je mgao ukiwepo mnafunga au mtaenda nao hivyo hivyo.maana nahofia mtu asijetoka mbali kote kufika hapo mmefunga itakuwa usumbufu
..pia nikupe hongera internet yako ina speed nzuri sana
 
TIFFANY SECRETARIAL SERVICES
SINZA,MAPAMBANO MAFREM YA BLUU .OPPOSITE LULU & UTOJI SOCIAL HALL.

PRINTING BLACK A4 = 100
PRINTING BLACK A3 =300
PHOTO COPY A4 = 50
PHOTO COPY A3=100
PIA TUNA PRINT A 3 COLOURED
AINA MBALIMBALI ZA HP CARTRIDGE
n.b. KAZI ZA TENDA, MASHULE, NA TAASISI MBALIMBALI ZINAFANYIKA KWA MAKUBALINO YA BEI YA PUNGUZO MAALUM.TUNAUWEZO WA KU PRINT A4 HADI TSH 50/= KWA KAZI KUBWA.UNAPATA COMPUTER BURE KUREKEBISHA KAZI YAKO. KARIBUNI SANA

MUDA WA KAZI
02:30 ASUBUHI-04:00 USIKU

Mkuu

Hongera kwa kufanya hio "marketing promotion", itakusaidia sana na pengine hata mimi nikiwa nakuja kwa likizo ntakuwa nikitua hapo kwa kufanya shughuli zangu, hasa internet maana ina speed nzuri.

Nilipata shida kidogo nilipokuwa TZ kwa likizo hivi karibuni na ile Internet Cafe ya pale ubungo nimesahau jina lake iliniboa sana kwa speed yake ndogo ya internet. Lakini mwenyeji akaniambia ni kwasababu ya "pricing structure" kutoka kwa ISP.

Pricing structure inasumbua sana lakini naona hii yako umekuwa na busara kufikiria hasa wanafunzi.

Huo ndio ujasirimali wa kweli.
 
Back
Top Bottom