Gharama Kubwa kupita kiasi Ujenzi wa miundombinu ya DART (TShs 388 B)

edsoysoma

Senior Member
Oct 1, 2015
145
68
Hivi justification ya TShs 388 Bilion kwa ajili ya mradi wa DART unapatikana wapi.
Nijuavyo mimi toka Feli mpaka Kimara Mwisho haifiki km 30. Na kutoka Magomeni mpaka Morocco haifiki Km 8. Yaani Jumla tufanye Km 40.
Na hata ukisema tuweke kadirio la juu kabisa la jumla ya Km 60.
Hiyo inafanya kila kilometer imegharimu = 300,000,000,000 / 60
ambayo ni: TShs 5,000,000,000 (TShs 5 bilioni per km)

Hapo kumbuka nimeacha TShs 88 Bilion. Hizo tufanye ndio ujenzi wa vituo; Mashine za ticketi na chochote kile. Ambayo kiukweli I doubted hata kama kiuhalisia haifiki TSHs 10 Bilioni.

Lakini kurudi kwenye hoja ya gharama ya ujenzi wa km moja (TShs 5B).
Hela iliyookolewa kwenye sherehe za uhuru ni TShs 4B na zinajenga kilometer 4.3 toka Mwenge mpaka Morocco.

Sasa inawezekanaje hapo hela ya kujenga kilometer 5 ijenge kilometer 1?
Na ikumbukwe nimekadiria juu mno hizo kilometer ambayo inafidia kila kitu hata kama itajengwa hoja ya utofauti wa kiwango na aina ya barabara.
 
Subiri muda utaongea, na hata hiyo barabara yenyewe haina ubora huo kuna maeneo nimeiona inaanza kubonyea na kuweka matuta, zile barabara za pembeni zitakazo tumika na magari ya kawaida haitafika miaka miwili kabla hawajaifumua na kuweka viraka, hiyo gharama ya 5billioni ilitakiwa barabara yote iwe ya zege
 
Tumepoteza miaka 10...tugange yajayo sasa. Tumpe support JPM mambo yasonge mbele
 
kuna kaukweli hapa,ngoja wataalam waje watuambie kilichosababisha gharama kuwa kubwa hvyo ni nn??
 
Hivi justification ya TShs 388 Bilion kwa ajili ya mradi wa DART unapatikana wapi.
Nijuavyo mimi toka Feli mpaka Kimara Mwisho haifiki km 30. Na kutoka Magomeni mpaka Morocco haifiki Km 8. Yaani Jumla tufanye Km 40.
Na hata ukisema tuweke kadirio la juu kabisa la jumla ya Km 60.
Hiyo inafanya kila kilometer imegharimu = 300,000,000,000 / 60
ambayo ni: TShs 5,000,000,000 (TShs 5 bilioni per km)

Hapo kumbuka nimeacha TShs 88 Bilion. Hizo tufanye ndio ujenzi wa vituo; Mashine za ticketi na chochote kile. Ambayo kiukweli I doubted hata kama kiuhalisia haifiki TSHs 10 Bilioni.

Lakini kurudi kwenye hoja ya gharama ya ujenzi wa km moja (TShs 5B).
Hela iliyookolewa kwenye sherehe za uhuru ni TShs 4B na zinajenga kilometer 4.3 toka Mwenge mpaka Morocco.

Sasa inawezekanaje hapo hela ya kujenga kilometer 5 ijenge kilometer 1?
Na ikumbukwe nimekadiria juu mno hizo kilometer ambayo inafidia kila kitu hata kama itajengwa hoja ya utofauti wa kiwango na aina ya barabara.
Huenda kuna upigaji kweli lakini yakupasa ujue ile sio singo road bali triple road tatu za kupanda na tatu za kushuka ,hebu tusubiri wataalam wa haya mambo watuambie
 
Vp fidia za Mali za watu zilizopisha huo ujenzi, kumbuka hizo njia hazikupita porini, na yale mabasi blue au yameletwa bure???!!!!!!!!
 
Hivi justification ya TShs 388 Bilion kwa ajili ya mradi wa DART unapatikana wapi.
Nijuavyo mimi toka Feli mpaka Kimara Mwisho haifiki km 30. Na kutoka Magomeni mpaka Morocco haifiki Km 8. Yaani Jumla tufanye Km 40.
Na hata ukisema tuweke kadirio la juu kabisa la jumla ya Km 60.
Hiyo inafanya kila kilometer imegharimu = 300,000,000,000 / 60
ambayo ni: TShs 5,000,000,000 (TShs 5 bilioni per km)

Hapo kumbuka nimeacha TShs 88 Bilion. Hizo tufanye ndio ujenzi wa vituo; Mashine za ticketi na chochote kile. Ambayo kiukweli I doubted hata kama kiuhalisia haifiki TSHs 10 Bilioni.

Lakini kurudi kwenye hoja ya gharama ya ujenzi wa km moja (TShs 5B).
Hela iliyookolewa kwenye sherehe za uhuru ni TShs 4B na zinajenga kilometer 4.3 toka Mwenge mpaka Morocco.

Sasa inawezekanaje hapo hela ya kujenga kilometer 5 ijenge kilometer 1?
Na ikumbukwe nimekadiria juu mno hizo kilometer ambayo inafidia kila kitu hata kama itajengwa hoja ya utofauti wa kiwango na aina ya barabara.
hela zimekopwa benki ya dunia kazi wamepewa kampuni ya kijerumani deni watalipa tanzania na riba juu. ujue kuna mwakilishi wa WB pale dart yuko benet na ceo wa dart mtz. ndio ujue ni kiliweza kutokea.
 
Hivi justification ya TShs 388 Bilion kwa ajili ya mradi wa DART unapatikana wapi.
Nijuavyo mimi toka Feli mpaka Kimara Mwisho haifiki km 30. Na kutoka Magomeni mpaka Morocco haifiki Km 8. Yaani Jumla tufanye Km 40.
Na hata ukisema tuweke kadirio la juu kabisa la jumla ya Km 60.
Hiyo inafanya kila kilometer imegharimu = 300,000,000,000 / 60
ambayo ni: TShs 5,000,000,000 (TShs 5 bilioni per km)

Hapo kumbuka nimeacha TShs 88 Bilion. Hizo tufanye ndio ujenzi wa vituo; Mashine za ticketi na chochote kile. Ambayo kiukweli I doubted hata kama kiuhalisia haifiki TSHs 10 Bilioni.

Lakini kurudi kwenye hoja ya gharama ya ujenzi wa km moja (TShs 5B).
Hela iliyookolewa kwenye sherehe za uhuru ni TShs 4B na zinajenga kilometer 4.3 toka Mwenge mpaka Morocco.

Sasa inawezekanaje hapo hela ya kujenga kilometer 5 ijenge kilometer 1?
Na ikumbukwe nimekadiria juu mno hizo kilometer ambayo inafidia kila kitu hata kama itajengwa hoja ya utofauti wa kiwango na aina ya barabara.
Muulize aliyesimamia ujenzi WA DART ni huyo huyo Leo Ndio anasema anajenga kwa 1 billion kwa kilometer.

Huwa nashindwa kuelewa kuwa yawezekana labda uwezo wetu WA kufikiri ni mdogo Sana Leo tunashangilia Sana na kumuona mkombozi. Vichwa vya wendawazimu.
 
Vp fidia za Mali za watu zilizopisha huo ujenzi, kumbuka hizo njia hazikupita porini, na yale mabasi blue au yameletwa bure???!!!!!!!!

Hiyo barabara wapi waliingia maeneo ya watu binafsi?, hiyo barabara imejengwa kwenye eneo la hifadhi ya barabara sijaona sehemu ambayo wameingia kwenye makazi ya watu
 
Kuna tofauti ya flexible pavement and rigid pavement. Najua nitakuwa nimekuacha kidogo... ila ukiangalia hata aina za barabara ni tofauti.. na hata jinsi ya kujenga ni tofauti pia.

Zingine tafuta zaidi
 
Project manager wa Mradi,mwanzoni alipinga garama za mradi kuwa kubwa,wakampiga chini,ndio tujue hii ni nchi ya kitu kidogo
 
Back
Top Bottom