Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Nipo kigamboni wakuu huku nako ni blasts za ajabu na bado zinaendelea... Allah akbar allah akbar Yatakwisha...!
 
Mbona hali haituliii? Is this just an accident or some people are in action?
 
[SIZE=+2]TO TYRANTS OF THE WORLD

[/SIZE]By Tunisian Poet Abul Qasem El-Chebbi (1909 - 1934)

Hey you, the ruthless tyrants...
You lovers of darkness...
You the enemies of life...
You've made fun of innocent people's wounds; and your palm is covered with their blood
You deforming the value of existence and sowed seeds of sadness in their land

Wait, don't let the spring, the clearness of the sky and the shine of the morning light fool you...
Because the darkness, the thunder rumble and the blowing of the wind are coming toward you from the horizon
Beware because underneath the ash there is fire

Who grows thorns will reap wounds
The river of blood you shed will sweep you away and you will be burned by the fiery storm.

(The Original Version)
poem.jpg

SOURCE: UNITED NATIONS. TO TYRANTS OF THE WORLD.

UJUMBE HUMU:

Ni ajabu na kweli kwamba kumbe yale yote yaliotokea Tunisia kupindua serikali dhalimu ya aliyekua Rais Ben Ali na kisha nguvu za virutubisho vya 'Matunda na Mboga Mboga' Shujaa Machinga Mohamed Bouazizi kuvuka mipaka yote YALISHATABIRIWA MNAMO MWAKA WA 1934 KUTOKEA.

Mtunga mashairi mzaliwa wa nchini Tunisian, Ndg Abul Qasem El-Chebbi (1909 - 1934), aliyaona kwa macho yake udhalimu na ufisadi ukitendeka nchini mwake hata akaamua kuyaweka katika kumbukumbu za kimaandishi kama tulivyoyaona hapo juu.

Baada ya takriban miaka 76 yale maoni yake yakaondoka kwenye karatasi; yakaenda mitaani na kugeuka moto mkubwa usiozimika uliotimulia mbali madikteta 2 hadi sasa na kuendelea kushika kasi!!! Mmachinga Mohamed Bouazizi ndiye silaha ya maangamizi iliokamilisha utabiri mzima!!!


sidi‑bouzid‑12.jpg

200 × 200 - Mohammed Bouazizi's (and Tunisia's) agony.




6a00d8341c60bf53ef0133f5f3acc6970b‑500wi

... Tunisian Mohamed Bouazizi, whose immolation, December 17, launched the ...
xomba.com

Similar ‑ More sizes




self‑immolation.jpg

240 × 196 - In the case of Mohammed Bouazizi, the youth from Sidi Bouzid in Tunisia, ...
jonathanfryer.wordpress.com





12626.jpg

450 × 338 - Mohamed Bouazizi's fruit cart pushes over Ben Ali's throne
israelagainstterror.blogspot.com




b2f9473a7b98b167c7130b26111d028b.gif

... the Tunisian revolution began in with the suicide of Mohammed Bouazizi ...
rozhlas.cz​
Laiti watawa huwa huchukua japo dakika 30 tu kujisomea kila siku, badala ya kuendelea mfululizo kusikiliza maoni ya wanafiki, naamini wangeweza kuona shairi hili na kuzingatia zaidi onyo kali kwenye mistari ya 7 na ya 10 ili zahama yasiwakute kama ambavyo tunaendelea bado kushudia hivi leo.

Enyi watawala: kuleni kidogo kwa afya njema na wala msizidishe kipimo chenu. Kila mmoja wetu katika jamii ANAYO UMUHIMU WAKE na wala asidharauliwe kitu.
 
nipo Tegeta ninaona mwanga mwekundu ukitokea kusini mwa jiji na milio ya ngurumo kubwa..... umbali watakriban kilometa 40
 
Niko maeneo ya Goba,kuna mtikisiko mkubwa sana na mihale ya moto inaonekana... Ni hatari kwa kweli. Sijui hao wakazi wauko wapo kwenye hali gani, tuombe Mungu atuepushe na ili janga.
 
Ndo bongo yetu, Hata hamna mtu atakayeulizwa au kuwajibishwa. Tume itaundwa kula hela na hakuna jipya. Yaani baada ya Mbagala hatukuwa na Lessons Learn!!!!!. Mungu Ibariki Tanzania
 
Mbona hayaishi jamani, nyumba yangu iko hatarini watoto wanalia. Ni mazito mno
 
ila wabongo badala ya kujihami wanaenda kushangaa maeneo ya karibu.nakimbilia hme kujificha huko mbgala kwani kwe2 yalishalipuka haiwezirudia
 
Nipo Regent estate na nasikia mlio mkubwa kwa mbali na nyumba inatikisika. Mwanzo nilidhani ni radi. Mtikisiko na milipuko inasikika mpaka sasa. Kama yanatokea Gongo la Mboto basi hali kule itakuwa mbaya sana kama mtikisiko wa kuogopesha tunaisikia huku.
 
Mabomu yanalipuka Gongo la Mboto polisi....

Taarifa zaidi kufuatia.

UPDATES:

Hali ni mbaya jijini Dar, nyumba zinabomoka, watu wanakimbia ovyo!

Nashauri jeshi letu lisijiingize ktk military propaganda zitakazolishinda kuzidhibiti. Kinaweza kuwa kitisho kwa wanaodiriki kufanya mandamano uraiani. It could be!
 
Dah Jamaa wote walioko huko hawapatikani

Nimempata kwa simu jamaa yangu mmoja anayeishi gongo la mboto amenihakikishia kuwa hali ni mbaya mabomu yanalipuka kwenye kambi ya Jeshi gongo la mboto. Familia nyingi zimepotezana ingawaje ameniambia kwamba wameshauriwa watulie wasikimbie ovyo.

Tuwaombee jamaa zetu hali hii iishe salama bila kuleta madhara makubwa kwa raia.

Tiba
 
Nadhani huko gongo la mboto hali itakuwa ni mbaya sana. maana hata huku Kigamboni utadhani mabomu yanalipukia ndani. Watu wanaogopa kulala ndani ili kuta zisiwangukie.

Vipi picha kutoka gongo la mboto?
Ndege bado zinatua?
Mbona iteligensia hawakutoa taarifa hizi au wanatoa za Arusha tu?
:roll:
 
sisi wakazi wa dar tunahofu sana kutokana na miripuko ya mabomu inayosikika.tbc imewatangazia wakazi wa gongo ku2lia.
 
Back
Top Bottom