Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Waungwana nipo mitaa ya hapa jet lumo mabomu ktk ghala ya polisi ya ukonga yanalipuka yani angani kuna mataa kama ya baruti au mafataki,lol tz tunaenda wapi?
 
Nimeongea na watu walioko Gongo la Mboto na kufahamishwa kuwa milipuko mikubwa bado inaendelea na nyumba zinatikisika sana. watu wako kwenye hali ya wasi wasi sana.
 
Breaking News-through Clouds FM(wakati wa michezo)
Inasemekana Mabomu yanalipuka Kisarawe; ebu fatilieni kwa kina: tuhabalishane.
 
wakuu hali si shwari.... Mabomu yanalipuka gombs na tuombe uzima
 
Aisee yanasikika hata huku Ubungo, tuombe MUNGU usalama wa jk nyerere airport uwepo. Ee Mungu, ilinde nchi yetu!!
 
Kuna milipuko kama ya mabomu inasikika baharini ambayo ina mshindo mkubwa sana. Nyumba zinatetemeshwa, inaogopesha.

Tunaomba taarifa ni nini kinatokea baharini na kama tutakuwa salama au nini tufanye

please
 
Mshimbo yu wapi? Aliyatayarisha kuuwa wana mapinduzi wakasau kuyadetonate. Boomerang has rebounced
 
ahaaa, kumbe ni Ukonga: fine-well and good kwa taarifa. Niko mitaa ya Tabata naona mioto inalipuka ni balaha.
 
Poleni sana wote mliokumbwa na hili janga ushauri mlio karibu kimbieni na muende mbali

Inabidi vitu kama hivi vikae mbali sana na makazi ya raia (nilidhani tumeshajifunza na majanga yaliyotukumba kabla)
 
Ni kweli hali inatisha. Hata hivyo vyombo vinavyohusika vinatakiwa kutoa taarifa haraka ili watu wasipate matatizo makubwa kwa kupanic.

Watu walioko Gongo la Mboto nasikia wote wametoka nje ya nyumba na hadi sasa hakuna taarifa za majeruhi. Ila hakuna taarifa kuhusu nyumba na wananchi wanaozunguka kambi ya jeshi.
 
Back
Top Bottom