Ghailani sentenced life in prison

THE PRICE OF BEING A BOGUS MUSLIM with wrong ideologies that killing non-muslims is a "THAWABU"

Hii ndio zawadi ya umbumbumbu wa kufuata mambo kama majinuni. Vijana wanamsubiri kwa hamu huko jela.
 
Siwezi kukubali au kukataa kwamba huyu kijana ameshiriki, lakini kuna uhakika gani beyond reasonable doubt kwamba huyu ameshiriki?

kwanza mateso aliyopata kwa miaka kadhaa kule Guantanamo kabla ya kesi yake kwenda mahakamani inamlazimisha kukubali.

Mshtaki ngedere, hakimu ngedere - hukumu ya kweli itapatikana hapo? Kesi yenyewe inaendeshwa kwa kiingereza na ni uhakika kwamba huyu kijana itakuwa amefika Form 3 au Form 4, kiingereza cha mwendo wa kesi huo alikielewa? ndiyo maana alishindwa kujitetea kutokana na kutokuelewa lugha inayoongelewa.

Ningekubali zaidi kama hii kesi ingeendeshwa in one of the European countries (Germany, France, Belgium....) na judge wake kuhukumu hii. Hapo ningeona haki imetendeka.

Tumeona jinsi wenzetu Waingereza walivyoweza kuwatetea raia wao, sisi hata kuulizia mwenendo wa kesi hata siku moja haikufanyika.

Tena tulikuwa tunaomba akutwe na hatia, kama ambavyo watawala wetu walivyowahi kutamka huko nyuma kuwa kitendo cha kukutwa na hatia eti kinalipa heshima Taifa kwa kuwa na upelelezi wa uhakika ulioweza kumpata muhalifu. Siwezi kusema kama huyu bwana kahusika ama la ila ninachoweza kusema ni kwamba huyu bwana amekuwa muathirika wa siasa za kuifunga G'tmo au la na je civilian court can handle the cases well?, this is a first step to set that example.
 
He got/reaped exactly what he sowed...it is not fair to kill people...he is lucky that he is is just going to jail for life...he still has his life and yet
alot of people died because of his endeavours and fanatism...he should not have expected any sympathy from any sector.

Let him stay behind bars and that should be a lesson to all who think of religious terorrism is the answer. They should send the Kenyan police after them to do what they do best...shoot to kill!
 
false allegation wakati yeye he is proud of serving for Osama?

Osama is a myth dude! open your closed mind!

Justice will be on the last day, judgement day! we will wait and you wait with us.
 
Osama is a myth dude! open your closed mind!

Justice will be on the last day, judgement day! we will wait and you wait with us.

I also know that, you should open the minds of all this hopeless muslims in east africa who uphold osama as their prophet
 
Woah! Bin Ladden as a Prophet, ni bitter pill to swallow kwa kweli.
 
Back
Top Bottom