Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Achimba mkwara live mbele ya vyombo vya habari vya kimataifa.
Yasemekana alifanya maandalizi ya muda mrefu kwa kukusanya wafuasi wake kutoka kila pembe ya nchi na kuwapakia kwenye malori kuwaleta Green Square ya Tripoli.
Aonekana amekaa kwenye jengo chakavu huku akicheza makida-makida.
Wanaojua wanasema anatapatapa
Source: Aljazeera