Ghadaffi ni Mchaga pyua

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,359
Kuna habari kuwa baada ya baraza la mpito NTC kutangaza kitita cha midola kibao kwa atakaye muua au kumkamata Ghadaffi, jamaa katuma meseji ifuatayo kwa kiongozi wa baraza hilo.

aisee baba angu, hizo pesa ni kweli au mnatania tu? basi kwa kuwa mmekwisha jua akaunti zangu za uswisi ninyi dipositini hata nusu mimi nitajiua mwenyewe na hizo nusu mtammalizia islam akiwaletea maiti yangu.
 
Lazima umemfananisha na kikwete maana nimesikia juzi msiba wa wakina marealle babake alitokea ukoo wa marealle na lowasa uko wa tarimo yangu macho siji haayo majina waliyapata wapi??
 
Back
Top Bottom