Ggm,Kmcl, Mambo si mazuri.

Ondio Osio

Member
Sep 11, 2011
24
3
Kutokana na kuvuma kwa tetesi, toka kwa mashirika ya ifadhi za jamii Nss na Ppf kutoa mafao ya wafanyakazi wa mashirika binafsi na makampuni, ambayo kwa sasa yatafanyika hadi mfanyakazi atakapo fikisha miaka 55 tofauti na ilivokua, unapata mafao yako kwa muda wa miezi 3, hadi kufikia ivi sasa wafanyakazi walio acha kazi Geita gold mining, wamefikia 122 na walioandika barua za kuacha kazi hadi sasa ni 94 , Kahama Mining, wafanyakazi walio acha kazi hadi sasa ni wafanya kazi 67.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom