Getting Married? Take The Quiz First

Sasa Boflo, leo naona umeamua kuniumiza bure tu
mara bed chart, mara getting married, mi nakuangalia...
sina mume, sina mchumba. hata male friend sina... :A S cry:
 
Last edited by a moderator:

Bibie Mwali, mara hii tu kuambiwa ufanye mtihani wa kabla ndoa ndo watu wote tulioleta posa unatukana machana mchana?
 
kila nikikutafuta unasema uko mbali na dar.....mbali ni wapi? ahera??
 
Above 12. . . NOT bad.

Sasa ngoja nihesabu vidole kuchagua nani awe, nani asiwe.
 
Bibie Mwali, mara hii tu kuambiwa ufanye mtihani wa kabla ndoa ndo watu wote tulioleta posa unatukana machana mchana?

There is something fishy going on here... be honest.
Usinambie na wewe ulileta posa kwa Uncle Kaizer
Msidhani mimi na Uncle hatuonge, tunaongea sana tu.
Na ameconfirm hajapokea mahari toka kwa mtu humu
Just Saint Ivuga alileta mbuzi mmoja, bado wa pili.
 
Last edited by a moderator:
Mi napatikana Tanga, ushongo
hujaona hapo status yangu???

¿¿¿nƃuɐʎ snʇɐʇs odɐɥ ɐuoɐɾnɥ
oƃuoɥsn 'ɐƃuɐʇ ɐuɐʞıʇɐdɐu ıɯıɯ

ok naja hukohuko
 
Back
Top Bottom