Getrude Mongella atumwe Malawi mara moja.

ZeMarcopolo

Platinum Member
May 11, 2008
14,017
7,220
Ukiangalia video hii Keynote Address: Joyce Banda, President of Malawi - YouTube dakika ya 34-36, utagundua kuwa Tanzania ina hazina kubwa kupitia Getrude Mongella katika jitihada za kumaliza mzozo wa mpaka kidiplomasia.
Hakuna haja ya kuchelewa. Rais anapaswa kumuagiza Membe kumuingiza Getrude Mongella kwenye timu itakayoenda Malawi tahere 20 mwezi huu.
This is the world of connections and in any matter concerning Malawi Getrude Mongella is the connection.
 
Mkuu ZeMarcopolo kwa kuwa Mh Membe yupo jamvini atazingatia ushauri wako.
 
Huu ndio upuuzi na ujinga tusiotaka. Its about time tukasimama kama wanaume. acha huyo malaya Joyce atume watu wake waje Dar lakini sisi hatuendi kwao Ngo...if anything tunaye balozi wa Tanzania Malawi ataongea kwa niaba ya Membe.

Wao walitutukana na kuanza vitisho sisi tumejibu wao wana gwaya sasa why should we waste tax payers money kupeleka watu kule?

wacha wao waje Dar kuomba radhi kisha tutawapa PRE CONDITIONS AND TERMS za kuzungumza nao.

otherwise WE DO NOT NEGOTIATE WITH TERRORISTS

Its that simple.
 
Nice mkuu. ******* kama kikwete ndo wanataka ku negotiate.
 
Kila siku unaambiwa wewe ni kiazi

this is beyond kujuana na ushikaji, simply because umetokea kwenye favours za kujuana basi kila kitu unataka kiende kiswahiba-swahiba. malawi-Tanzania is beyond "umemtoa wapi huyu baba".....

and if these are your connections strategies, utaishia kuwa mlamba-mat@k0 hadi siku yako ya mwisho

problem like this is solve through sound strategies na sio ushkaji

SHE IS A PRODUCT OF USAID..... HER PLATFORM IS NOT GETRUDE,
 
Mkuu ZeMarcopolo kwa kuwa Mh Membe yupo jamvini atazingatia ushauri wako.

HAKUNA USHAURI HAPO, NI KUUZA SURA TU... HUYO TRAITOR ANAZIDI KUTHIBITISHA MYOPIA ALIYONAYO... HE HAS RUBBED HIS ASS TOO MUCH THAT IT HAS LOST ITS SOFTNESS AND SENSITIVENESS..........sad

msasa.jpg
 
Mongella lost her intergrity/credibility when she presided over the African Parliament, she cannot be a good ambassador in any African mission!!
 
HAKUNA USHAURI HAPO, NI KUUZA SURA TU... HUYO TRAITOR ANAZIDI KUTHIBITISHA MYOPIA ALIYONAYO... HE HAS RUBBED HIS ASS TOO MUCH THAT IT HAS LOST ITS SOFTNESS AND SENSITIVENESS..........sad

View attachment 61279

Mkuu,
Huh!! this sounds too bitter!
Unless there is something i surely don't know about this whole matter!
 
Huu ndio upuuzi na ujinga tusiotaka. Its about time tukasimama kama wanaume. acha huyo malaya Joyce atume watu wake waje Dar lakini sisi hatuendi kwao Ngo...if anything tunaye balozi wa Tanzania Malawi ataongea kwa niaba ya Membe.

Wao walitutukana na kuanza vitisho sisi tumejibu wao wana gwaya sasa why should we waste tax payers money kupeleka watu kule?

wacha wao waje Dar kuomba radhi kisha tutawapa PRE CONDITIONS AND TERMS za kuzungumza nao.

otherwise WE DO NOT NEGOTIATE WITH TERRORISTS

Its that simple.

Mhhh...kama mambo ya ulimwengu huu yanaenda hivyo mbona wanyonge wana nafasi ndogo sana ya kuishi. Maana kesho akija mbabe kutoka ulaya au marekani na kutwaa nchi yetu tutasema kwa nani?
 
Kwani wizarani au serekalini wafanyakazi hakuna wakutumwa?Huyu mama kazeeka sasa jamani mwacheni apumzike sasa.
 
huu ndiyo muda wa kuzitoa vumbi mashine zetu sababu zina miaka mingi hazijakoga.
 
Nice mkuu. ******* kama kikwete ndo wanataka ku negotiate.

jems Bond mwenyewe mbona mpole na mpenda Amani 2 sasa we Bond wa kuchora mkari ivyoo Bi mdogo kakosea atakiwa aongee na Mwamke mwenzie kama Shost..wanaenda Salon then wanaonga hiyo pekeyake ni fimbo kulikoni kumtumia mtu na ndevu zake kwenda ongea na bi mdogo hana haja
 
Inaonekana muda wote unafikiria viti maalumu,kwenye mambo kama haya ya utatuzi wa migogoro mikubwa ya nchi na nchi hayahitaji VITI MAALUMU.
 
Mkuu,
Huh!! this sounds too bitter!
Unless there is something i surely don't know about this whole matter!

Ukiona mtu anabeef na wewe lakini hana ujasiri wa kukwambia face to face badala yake anajificha kwa jina la siri ujue huyo mtu ameshajiona inferior kwako. dawa ya mtu huyo ni kumignore aendelee kuwa obsessed na maisha yako wakati wewe unaishi maisha yako kama Mungu alivyopanga. Kuna siku mtu huyo atajigundua kuwa anachofanya ni ujinga ambao unampunguzia muda wa kuenjoy maisha yake. Hapo anaweza kuamua kukuface na kukwamba what the matter is au anaweza kupotezea tu tabia ya kufuatilia maisah ya wengine. Hilo ndilo linalomsumbua huyo bwana hapo juu na wenzake wa aina hiyo.
 
Huu ndio upuuzi na ujinga tusiotaka. Its about time tukasimama kama wanaume. acha huyo malaya Joyce atume watu wake waje Dar lakini sisi hatuendi kwao Ngo...if anything tunaye balozi wa Tanzania Malawi ataongea kwa niaba ya Membe.

Wao walitutukana na kuanza vitisho sisi tumejibu wao wana gwaya sasa why should we waste tax payers money kupeleka watu kule?

wacha wao waje Dar kuomba radhi kisha tutawapa PRE CONDITIONS AND TERMS za kuzungumza nao.

otherwise WE DO NOT NEGOTIATE WITH TERRORISTS

Its that simple.

You are sick...
 
Yani haka kamama Kafisadi kalikofanya ufisadi kwenye Bunge la Afrika bado mnaona ile mihela aliyonayo haimtoshi mpaka tumuongezee miposho zaidi? Nyambafu zako.
 
Back
Top Bottom