Getruda ndani ya MMU

Getruda

Member
May 10, 2012
16
4
Nimejitambulisha kwa wana MMU mod wakaifuta thread yangu, nimerudi tena wapendwa wa MMU, nipokeeni tujenge mapendo daima, kupitia mapendo nchi yetu itakuwa na amani teleeeeeeeeeeeeee
 
Sidhani kama itakua imefutwa bali nadhani itakua imehamishwa na kupelekwa jukwaa sahihi.
 
poa upendo kwa wote ndo jadi yetu watanzania
Tuwekee na picha yako basi ili tukufahamu.............Twaweza kukutana barabarani tukakupita bila salaam, sie humu wote tumeweka picha zetu halisi ili tujuane........................LOL
 
Tuwekee na picha yako basi ili tukufahamu.............Twaweza kukutana barabarani tukakupita bila salaam, sie humu wote tumeweka picha zetu halisi ili tujuane........................LOL

kweli mkuu angeweka pic ingekua poa kwasababu sisi sote ni ndugu watoto wa baba mmoja
 
Back
Top Bottom