Thanks Mkuu my health is getting back to
normal now.
Mchungaji nitakuja na fungu la kumi kanisani kwako ili nisiugue tenaToa thanks kwa mchungaji na waumini haraka
Toa thanks kwa mchungaji na waumini haraka
Hiyo hiyo +4 "Mkubwa asilaaay"......benchoidivi we "dogo asilaaay" unaumwa nin?.....malaria same same au kuna jingine?....benchoid!
Thank you KH thank you for your prayersHappy to see you TF. Kumbe ulikuwa unaumwa...........Pole sana. Bwana akupe afya yako soon.
Stay blessed.
Dah! Daughterkabla hujarudi kitandani,..haya anza
Pole mkuu,ilikuwaje?Mchungaji nitakuja na fungu la kumi kanisani kwako ili nisiugue tena
Thank you mzazi.Ugua pole mzazi.
Mungu wetu ni mwema sana, unaenda kupona very soon!
Asante Sana KipipiPole wee! Ntamwambia mchungaji Mwingira akuombee upone haraka!!
Miss you too pumpkin.
Thank you Rose...mhh pole jaman mpz!!!!!!!!!
Asante dada nimekula lakini sijayamaliza yoteMdogo wangu pole utapona tu kula chakula vizuri na yale matunda niliyokuletea sawa eeh
Thank you PA, you know what you did sina cha kuongeza zaidi ya kusema thanks halafu huyu Rocky mhh lol
Mchungaji nitakuja na fungu la kumi kanisani kwako ili nisiugue tena
Asante dada nimekula lakini sijayamaliza yote
Wewe na Rocky dawa zenu ziko jikoni, hivi hakuna mtu anayeweza kunisaidia hizi dawa kati ya nyie wawiliPA It was a pleasure.... Huyu Rocky dawa yake ndogo.... You just take care of yourself cause like i said I/We MISS you so....
Thank you RussianPole sana... Prompt restablishment...