Get Well Soon Beibe Nasty

Kwa nini kaka asitoe mwenyewe taarifa unakuja kumtolea wewe?!!
Na kwanini yeye asije kulalamika unakuja wewe?
Heheheheeeee dogo bhana aisee una mambo lol ngoja aje akupe za uso na umbea wako wa hadharani
 
Na kwanini yeye asije kulalamika unakuja wewe?
Heheheheeeee dogo bhana aisee una mambo lol ngoja aje akupe za uso na umbea wako wa hadharani

anipe za uso au anipongeze hata yeye akiona lazima aingiwe na wasiwasi!! ndio ile habari ya mwenye mke anakula mchicha halafu dogo unandaliwa kuku mh!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom