Get Well soon Asprin

Ushaanza homa za mara kwa mara eeh? Kila mara unagonjeka wewe. Usije ukatuulia bibi tafadhali!
Nani alikudanganya hangover ni ugonjwa? Manina wallah, mpaka sasa naona maruweruwe.... Gines shenzy sana!!

Na nikitoka hapa naenda kuzilipizia kisasi...

Haziwezi onea ODM namna hiii.

Manina na nusu.
 
Chezeiya hangover hawa

Naona hajawahi kunywa machozi ya simba

Nyambafu kabisa machozi ya simba
unaweza mtongoza mkeo au mmeo

Nani alikudanganya hangover ni ugonjwa? Manina wallah, mpaka sasa naona maruweruwe.... Gines shenzy sana!!

Na nikitoka hapa naenda kuzilipizia kisasi...

Haziwezi onea ODM namna hiii.

Manina na nusu.
 
Ndo maana kesho yake mie nilikimbia, nikawa najiuliza nilivyohoi mbona babu Asprin hachoki.... Unaona sasa....



Nimekoma na threesome cacico, manake nyie mabinti mlimalizana kwanza ndo mkaja kunitengua kiuno. waoneni vile...
white-party9.jpg

white-party11.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hahah...mi ntaomba kuwa nakubebe vifaa vya ukaguzi -mjukuu mwenza, approved by babu Asprin!

Aha!we unataka kumbebea ERICK52 bamia yake si tabia nzuri mwenzi nyanya chungu zake na bamia huwa anabeba mwenyewe labda akichoka AMYNER huwa anamsaidia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom