Get well soon AshaDii

Status
Not open for further replies.
RR ! Nina vitu viwili Kwanza : Nampa pole mgonjwa for the God sake she may get fine soon.
Ameen


Pili : ni swali , hivi source ya kujua somebody Membar yu mgonjwa, navyojua ni mgonjwa husika kuleta Thread kutujuza.
So far ikiwa hajatoa ufahamu unakujaje ? Through Pm au ? Inatokea Membars kuishi jirani ?.
We unazungumzia members kuhishi jirani? Kuna members ni couples wa ndoa kabisa!
AshaDii is my friend. A very close friend.
Hakuna utaratibu wowote wa member kumuanzishia mwenzie thread ya kumtakia kupona, so long as muhusika haoni ubaya wa kuanzishiwa thread (be assured, she doesn't mind)
 
Pole sana, .amefanya diet nyingi sana au?

Si unaju wanawake wengine wanakuwa wagonjwa kwa kuwa hawali vizuri.

Haa kabisa na akijiachia kwenye kula yani balaa atakua futu futu kama kiroba shepu yote inapotean
 
101265.gif
 
ODM is puzzled! ODM thought angekuwa wa kwanza kujua. ODM anajua kuwa ADI anajua what he wishes and prays for her. ODM anajua kuwa ADI anajua kuwa what ODM prays for her huwa MUNGU husikiliza na kujibu. Leo ODM hamsumbui sana Mungu, bali anamwomba amponye ADI wake mapema. Wote tuitikie AMINA. Ahsante, EEH MUNGU KWAKUWA ADI AMEPONA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom