Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 471
Pole dada mungu atakusaidia utarudi tena jamvini kama kawa!
Pole Shem. I feel what you feel hata mimi ila naamini hakuuliza kwa nia mbaya...Yaani RR hilo jia lako lisingekuwa na maandishi mekundu, ningekuwa na neno la kukuambia...ila sasa kwa hali ilivo....hebu nisijepata ban manake mawazo yangu yako kwa mgonjwa...BUT Thank YOU.
I miss you too dear.Pole sana naona unapokezana kuugua na shemejio.Mungu akuponye..nini tena cha mno lakn???Ndio maana umekuwa kimya mno hapa jamvini.I miss you mnoo.
Ameen!Ooooooohh!
Ndiyo maana kimya yake kimetawala ndani ya masaa kadha zilizopita!
Pole sana Sister!
Hakika MUNGU yupo na atakurejeshea afya yako jamani!
Tu pamoja sana tena sana ktk hali yoyote ile na hata nitaenda kinyume kbs na nguvu yeyote ya kimiungu na kuzikataa kbs na nikimwacha MUNGU atume Malaika wake wakujaze nguvu yake na uwe na afya njema jamani!
Uwe na wakati mzuri na hata pole sana!
I miss you too dear.
Hi Alter,
I am sorry that you are not feeling well... I pray that you recover promptly.
Nimefurahi kujua unahudumiwa na madaktari despite mgomo (You are AshaDii! au vipi?)
I miss you jamvini na uraiani pia. Get well soon love.