Get a brand new Acer ICONIA Tab A500 at very cheap price

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,591
Acer ICONIA Tab A500 is designed to maximize content enjoyment, providing the same rich multimedia, gaming and Web experience you can enjoy on your home PC with the added user-friendliness of the 10.1" multi-touch screen.

main_image_01.png

SPECIFICATIONS

  • Display Internal: 10.1" Screen Size
  • Graphics: Nvidia Geforce Graphics Chip
  • Operating system: Android 4.0.3 Ice Cream Sandwich OS
  • Memory Standard: 1 GB RAM
  • Processor: Nvidia Tegra 2 Dual Core Processor (1 GHz clock speed)
  • Camera: 5 MP Rear Camera/2MP Front Camera
  • Internal storage: 16 GB
  • External Memory: microSD(64 GB maximum size),
  • USB: 1 USB 2.0 port
  • Bluetooth Support: Bluetooth 2.1 standard
  • Wireless support: IEEE 802.11b/g/n WiFi standard
  • HDMI: 1 microHDMI port
  • MicroUSB: 1 microUSB port
  • Battery Life: 6.9 Hours Maximum Battery Life

PRICE:
760,000/=

For more information please contact me through:
Mobile: +255789884221
E-mail: sales@youngmaster.co.tz
 
Could go for 5pcs kama ingekuwa ina-support simcards

It doesnt support SIM card. It supports only WiFi. But kama SIM card unahitaji kwa ajili ya matumizi ya internet naweza kukuuzia hiyo pamoja na kifaa kimoja kinaitwa MiFi ambacho kinatumia SIM card na kusambaza internet kwa njia ya wireless mabayo inaweza kuconnect up to 5 devices kwa wakati mmoja huku ikikupa internet yenye kasi ya ajabu.

For more details kuhusu kifaa hicho pls Invisible tembelea this link https://www.jamiiforums.com/tech-ga...a-kisasa-cha-internet-kwa-bei-poa-kabisa.html
 
Last edited by a moderator:
Young_Master,

Ukiwa na device inayo-support SIM cards we nishtue; sihitaji additional devices maana najua itakuwa mzigo mwingine lol, lakini bei yako nimeipenda! Reasonable indeed
 
Last edited by a moderator:
wapendwa,

mi hayo mambo ya matechnolojia huwa nayapa "shikamoo" napita najiendea zangu.

hayo ya sijui android, wifi, mifi, shangazi wajomba, aple, banana, nvidia, lydia nk nk siyajui kabisa. mi nachojua ni simu na komputa tu, basi. nikiweza kufanya kazi zangu na kuwasiliana na wengine kwa sauti na sms/email nk, nimemaliza!!

mbarikiwe sana

Glory to God!
 
Teh teh teh!!!! Umenichekesha sana Ms Judith hadi nimejikojolea. Anyway ndio mambo yetu hayo. Karibu tena.
 
Last edited by a moderator:
wapendwa,

mi hayo mambo ya matechnolojia huwa nayapa "shikamoo" napita najiendea zangu.

hayo ya sijui android, wifi, mifi, shangazi wajomba, aple, banana, nvidia, lydia nk nk siyajui kabisa. mi nachojua ni simu na komputa tu, basi. nikiweza kufanya kazi zangu na kuwasiliana na wengine kwa sauti na sms/email nk, nimemaliza!!

mbarikiwe sana

Glory to God!

Same here Ms Judith hii makitu hapana .
Laptop na simu yenye akili tu vinanitosha sana hii migogoro mingine hahaha sijui wifi nk nk :confused2:
 
Last edited by a moderator:
Me nahic izo zote mbwembwe....ivi kuna haja gani ya kumiliki Ipad ya milions of shilings akati kuna mini laptop nzuri tu na zina uwezo mkubwa kuliko izo na bado price yake iko chini
 
Me nahic izo zote mbwembwe....ivi kuna haja gani ya kumiliki Ipad ya milions of shilings akati kuna mini laptop nzuri tu na zina uwezo mkubwa kuliko izo na bado price yake iko chini

Afu na bado tunailaumu serikali kununua magari ya kifahari, kama sisi watu wa kipato cha chini tunamiliki tablets na sim za millions of shilings y not for the government!!!!
 
Nikiwa kwenye basi nacheza na tablet,nikiwa kwenye safari nacheza na tablet,nikiwa sina umeme nacheza na tablet,nikiwa nataka kusoma magazeti na sina hela ya kununulia nacheza na tablet ,nikiwa chooni nakuwa na tablet,nikitembea nasoma email nikiwa na tablet,nikipumzika mwembeni nasoma vitabu nikiwa na tablet,nikija kuwa mheshimiwa mbunge nitasoma taarifa na miongozo nikiwa na tablet,lakini siwezi fanya yote hayo nikiwa na min laptop au laptop yenyewe na yote hayo sio sitarehe bali ni nyenzo muhimu,huko nyuma tulikuwa tunarudufu,tukaanza kutype kwa kutumia tap tap ,baadaye zikaja tap tap za umeme ,zikaja kompyu za mezani na chogo lake ,zikaja flat na sasa ............
 
Me nahic izo zote mbwembwe....ivi kuna haja gani ya kumiliki Ipad ya milions of shilings akati kuna mini laptop nzuri tu na zina uwezo mkubwa kuliko izo na bado price yake iko chini

Ni kweli kuna watu wananunua tablets kwa ajili ya mkumbo tu! Amini nakwambia, kama una ofisi kadhaa unazizungukia kila siku hii kitu itakusaidia sana!...ukinikuta kwenye mabanda ya nguruwe na iPad yangu aaaaah, saaafi: nabofya tu ngba ngba!
 
Kazi zingine huwezi kaa umening'iniza lilaptop, na simu screen yake ni ndogo sana!..steve jobs ni jiniazi wakuu, hii kitu kwa sisi watu wa shamba ni ukombozi halisi!
 
Ni kweli kuna watu wananunua tablets kwa ajili ya mkumbo tu! Amini nakwambia, kama una ofisi kadhaa unazizungukia kila siku hii kitu itakusaidia sana!...ukinikuta kwenye mabanda ya nguruwe na iPad yangu aaaaah, saaafi: nabofya tu ngba ngba!

Teh teh teh!!! Umenichekesha sana mkuu
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom