Get 50GB online storage for free [ADrive’s Basic]

Zasasule

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
1,002
103
whts up JF members
this specially for people who were looking for online storage!!
A VERY EFFICEIENT WAY OF DOING BACK UP FOR YOUR IMPORTANT FILES!!!!

now Adrive wametoa 50gb free online storage, u just need to register yourselves, simply clicking sign up and veryfy your email!!!! and its all done!!


20111002183229.png




REMEBER ON REGISTERING CHOOSE BASIC FREE


20111002193258.png



HERE ARE SOME SCREENSHOOT UKISHAKUWA NA ACCOUNT TAYARI

20111002185034iphone.png



20111002185134iphone.png









HERE IS THE LINK FOR A DRIVE WEBSITE: https://www.adrive.com/login/signup


ENJOY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
aha! ile sehemu ya kulogin kuna sehemu imeandikwa 14 days trial so isije kuwa trial hizo gb 50!
 
ni nzuri ila tu sasa hiyo client desktop ndo 14days trial na hii ndo ya muhimu...
 
aha! ile sehemu ya kulogin kuna sehemu imeandikwa 14 days trial so isije kuwa trial hizo gb 50!

chagua basic free,you wont get restrictions za 14 days, mimi natumia now ni third week and its working perfectly!!!
 
Nina terabytes mbili za storage kwenye hardware zangu, sihitaji gigabyte 50 za mtu za mitandaoni, ziwe bure ziwe za kulipia.
 
nina terabytes mbili za storage kwenye hardware zangu, sihitaji gigabyte 50 za mtu za mitandaoni, ziwe bure ziwe za kulipia.


i guec your 2tb hard drive are like angels, they wont ever go down!!!
Then the membership is not meant for you, leave t for the people who need it
 
Nina terabytes mbili za storage kwenye hardware zangu, sihitaji gigabyte 50 za mtu za mitandaoni, ziwe bure ziwe za kulipia.

Siku nyumba itakapoungua na faya wakaja na magari bila maji ukapoteza hizo hard drives, then you will know how important is the back up memory.
 
Siku nyumba itakapoungua na faya wakaja na magari bila maji ukapoteza hizo hard drives, then you will know how important is the back up memory.
Hard drive nyingine iko home nyingine ofisini nyingine mobile, hata nikienda bushi za mbali ambako hakuna net bado nafanya kazi zangu bila ku download ma data, na hata nikiwa na net sihitaji kuchoma bandwidth eti na download data zangu mwenyewe, that's fiscal irresponsibility. Kwa hizi net service zetu za kupima kama mafuta ya taa, swala la kuweka data online may not be the best approach.

Halafu hayo ma server ya Marekani hayo kuna siku Justice Department ita subpoena ma data ya hilo li kampuni na ku compromise my personal info, who needs that?
 
Si vema kutumia nguvu nyingi kupinga kila kitu kiasi cha kuwakatisha wengine tamaa .Tubadilike kwa kuungana mkono kwenye mambo ya maendeleo.Naungana na mtoa mada
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom