Gesti bubu zinazotoa huduma ya ngono

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Juzi kati nilikuwa natoka kazini sasa kwa bahati mbaya ka mkweche changu kakaharibika mitaa ya manzese big brother ilikuwa ni mida ya saa kumi na mbili sasa nikakapeleka kwa fundi pale shiughuli ikamalizika kama kwenye saa tatu sasa nikaona uvivu kurudi kwangu tegeta nikaona isiwe tabu ngoja nichukue guest then nitaenda home kesho yake coz ilikuwa jumapili

sasa bwana wakati nachukua chumba kwenye moja ya guest kama unaenda mabibo iko bara barani nilishangaa napokueliwa na madada kama 4 hivi nikajiuliza hawa wote wahudumu? walikuwa wamevaa khanga moja wengine sasa mziki ikawa ni kelele kila saa watu wanaingia na kutoka nilishindwa kulala aisee coz guest zetu nadhani unazijua kukuru kakara za chumba kingine wewe unazisikia sasa nikajiuliza ina maana guest nyingi zina hii huduma??

wenye guest wanajua?

kuna jamaa yangu mmoja aliniambia kwa sewa wanafanya hayo mambo??

jamani kuna mtu anajua guest nyingine wanaoufanya huu ushenzi tuwaumbue kwa serikali maana ni aibu

teksi bubu ndo gesti bubu au?
yani unaacha kwenda nyumbani kwako ukalale kwa amani unaenda gesti bubu kwasababu ya uvivu??

sema wakati unatengenezewa gari ulipata labda mdada muuza matunda.......si unawajua wale wanapitisha gereji....ukaona ukachetuke bana........

pambaf kabisa.
 
.
hata mie nlikuwa nashangaa, title na content tofauti kabisaaaa!
 
teksi bubu ndo gesti bubu au?
yani unaacha kwenda nyumbani kwako ukalale kwa amani unaenda gesti bubu kwasababu ya uvivu??

sema wakati unatengenezewa gari ulipata labda mdada muuza matunda.......si unawajua wale wanapitisha gereji....ukaona ukachetuke bana........

pambaf kabisa.

usifanye mchezo na stress za kina mama wa kijaluo
 
Home is sweet!!je ungekuwa umepata breakdown Chalinze siungekaa mwaka!!!sema uliamua kwenda Guest kwa ukwale wako baada ya hivyo vichangudoa kukupitia!!unalolote
 
teksi bubu ndo gesti bubu au?
yani unaacha kwenda nyumbani kwako ukalale kwa amani unaenda gesti bubu kwasababu ya uvivu??

sema wakati unatengenezewa gari ulipata labda mdada muuza matunda.......si unawajua wale wanapitisha gereji....ukaona ukachetuke bana........

pambaf kabisa.

Matunda na sinia la mihogo mibichi.............
 
hapa pameishajeishaje hapa...mbona mi sijaelewa...hawa wadada uliishia wapi nao...!!?:noidea:
sasa bwana wakati nachukua chumba kwenye moja ya guest kama unaenda mabibo iko bara barani nilishangaa napokueliwa na madada kama 4 hivi nikajiuliza hawa wote wahudumu? walikuwa wamevaa khanga moja wengine sasa mziki ikawa ni...............................................................
 
Nadhani una maana ya Guest bubu na Teksi bubu . Lakini Mkuu, Dar haina umbali, tena wakati wa usiku ndio kabisa barabara nyeupe unaenda 180 kmh. Ikawaje ulale Mabibo ilhali kwako ni Tegeta? Mbona siku ile umetoka arusini kule PTA saa 7 usiku ulienda nyumbani. Watu wanatoka Kisarawe mida hiyo hadi BunjuMkeo/Mcumba/ Mpenzi wako alikuelewa kwa hoja kama hiyo? Anyway, kuhusu swali la Guest nyingine zinazofanya mambo hayo, wewe elewa kuwa ni Guest Bubu zote, na hiyo ndio maana hasa ya Guest bubu. Hata nyingie ambazo ziko ngazi zaidi ya bubu hiyo huduma ipo ilmradi tu mfuko wako, si unafahamu mtu huwezi kukaa mjini bila pesa maana huwezi kulima lami. MUHIMU: KAMA KWELI UNAPENDA MKEO/MUMEO/ MCHUMBA WAKO..............UTAMLINDA.
 
nimechekaaa sanaaa...dah!!etii wakwambie sihemu nyingine wanapotoaa hizoo udumaa,wee umeshindikanaa mkubwaaa?yanii za mabiboo hazijakutoshaa watakaaa nyinginee na nyingine.unamkeee wewee au bachelor????
 
tehe tehe tehe, nimecheka kwa ukelele mkubwa hadi colleagues wangu wamenishangaa kulikoni mwayego!!!
 
Back
Top Bottom