gesi ya majumbani

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
habar wanajamvi, lait kama gesi ya majumbani ingelikuwa inapimwa kwa kias kidogo km tupimavyo mafuta may b kilo moja na kuendelea. leo nimepata shida kwn nimeishiwa gesi afu ni ucku i have no alternative. kwann wasipime kias kidogo kidogo?
 
Pole sana Mkuu!!

Mimi ningesuggest hii mitungi ya gesi watuwekee kitu kinachoonyesha imefikia wapi!!!Huwa hii mitungi haina taarifa,unashtukia tu gesi imeisha !!!
Embu jiulize gari lisingekuwa linaonyesha kiasi cha mafuta kwenye tank,ingekuwaje?Nadhani wengi tungekuwa tunakwama barabarani!!

Marketing department,fanyieni hii issue kazi,mturahisishie sisi clients wenu
 
Hahahaha! Umenichekesha sana mkuu!! Sasa mtungi wenye gauge si utakuwa na cost zaidi na wakati issue ni ukata?
 
Pole sana Mkuu!!

Mimi ningesuggest hii mitungi ya gesi watuwekee kitu kinachoonyesha imefikia wapi!!!Huwa hii mitungi haina taarifa,unashtukia tu gesi imeisha !!!
Embu jiulize gari lisingekuwa linaonyesha kiasi cha mafuta kwenye tank,ingekuwaje?Nadhani wengi tungekuwa tunakwama barabarani!!

Marketing department,fanyieni hii issue kazi,mturahisishie sisi clients wenu

tatizo co gauge, tatizo ni kwamba hata ikiisha utatakiwa kununua kilo 15 zile zile. ndo mana nasema
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=3781657
 
marejesho ndo mana nasema bora gas ingekuwa inapimwa kdg kdg kama mafuta,make hta km kuna gauge gas ikiisha utatakiwa kununua kias kilekile.
 
Last edited by a moderator:
Si kuna mitungi ya kilo 38, 15 na 6?
Umeshindwa hata wa kilo 6 mkuu?

nahc hujansoma mkuu,nina mtung wa 15kg,ile natoka zangu job 2000hrs kuwasha haiwak et imekwsha,kwnz ni uck afu hakuna mahal wanauza uck
 
Pole sana Mkuu!!

Mimi ningesuggest hii mitungi ya gesi watuwekee kitu kinachoonyesha imefikia wapi!!!Huwa hii mitungi haina taarifa,unashtukia tu gesi imeisha !!!
Embu jiulize gari lisingekuwa linaonyesha kiasi cha mafuta kwenye tank,ingekuwaje?Nadhani wengi tungekuwa tunakwama barabarani!!

Marketing department,fanyieni hii issue kazi,mturahisishie sisi clients wenu

Hilo nalo neno!!!
 
la muhimu ni kuwa na mitungi miwili mkuu,ikikata mmoja unaweka mwingine hiyo ndo alternative nnayotumia,na je vp kuhusu ujazo sahihi? utajuaje kama ni 15kg ya ukweli?
 
tatizo co gauge, tatizo ni kwamba hata ikiisha utatakiwa kununua kilo 15 zile zile. ndo mana nasema
https://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=3781657

At least utaweza kujipanga kuliko kushtukizwa usiku halafu huna cash mfukoni!!
 
la muhimu ni kuwa na mitungi miwili mkuu,ikikata mmoja unaweka mwingine hiyo ndo alternative nnayotumia,na je vp kuhusu ujazo sahihi? utajuaje kama ni 15kg ya ukweli?

me nkienda kununua huwa nahakiksha naupima kwny mzan wao labda wawe wamebana mzan.khs mitung mi2 duh noma.maisha yenyewe passport size mi2ng mi2 dah
 
me ilibidi ninunue wa pili baada ya kulala na njaa mara mbili kaka,vp katika kupima ushakuta ulio pungufu?
 
Yaani mkuu unalala njaa kwa kukosa gas ya kupikia? Mkate na juisi je? Au una maana bila ugali hujashiba kama wale ndugu zetu wa mahali fulani?
 
kuna ile unarudi home late kaka,ukicheki frige limenuna afu upo mbali na duka,gase nayo hola...
 
GAUGE kwenye mitungi ndio solution muafaka. Gharama yake haizidi sh. 5,000 kwa aina ile inayowekwa kwenye fire extinguisher za magari.
 
habar wanajamvi, lait kama gesi ya majumbani ingelikuwa inapimwa kwa kias kidogo km tupimavyo mafuta may b kilo moja na kuendelea. leo nimepata shida kwn nimeishiwa gesi afu ni ucku i have no alternative. kwann wasipime kias kidogo kidogo?
Solution ni kuwa na mitungi miwili kwa jiko moja, mmoja ukiisha unaweka mwingine wakati unajipanga kuujaza ulioisha kabla hujaumbuka. Mimi niliishiwa gesi wakati chakula cha wageni kinapikwa...
 
Back
Top Bottom