Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
COSTECH walishafanya utafiti wa hii mitambo ila sema wao walikuwa wakijengea nje. Nafikiri walifikia hatua kubwa tu kwa kuzalisha Gas nyingi (BIOGAS) na nakumbuka kuona picha za gazeti la Daily News mfanyakazi wa COSTECH akimuonyesha Hayati baba wa Taifa hiyo mitambo inavyofanya kazi na ilikuwa ni wakati Nyerere bado ni Rais wa Tanzania.
Nashindwa kuelewa waliishia wapi hawa COSTECH na utafiti huo kuwa Boss wao, Kayumbo akaja Msangi sijui na wengine waliokuwepo hapo hadi huyu mpya aliyekuja sasa.
Nafikiri pale COSTECH kuna vitu vingi sana vimelala tu ambavyo vingeliokoa maisha ya Watanzania kwa wingi. Sasa hebu angalia vijijini ambako mabaki ya vyakula kibao na maji, Gas ingelikuwa ya kumwaga.
Asante sana Mkuu kwa hizi habari. Itabidi hata sisi wa Sikonge tufanye mpango kuweka hapa SIKONGE HOSPITAL. Kuna kijana fulani niliambiwa ana mpango kama huo huo Kigoma ila sijapata habari kamili amefikia na kufanikiwa vipi.