Gesi ya kulipa mara moja unatumia milele

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
571
214
habarini ndugu zangu gesi550 ni jina la gesi ya biogas inayo tengenezwa na kuzwa kama gesi zingne tofauti ya gesi hii tuna kupa na mtambo wa kuendelea kuzallisha gesi hadi mwisho wa maisha yako.mtambo uko kama simtank ,ukisha nunua mafundi wanakuja kukusetia.pamoja na jiko la plate mmoja bure na warrant na matengenezo au service kwa miaka miwili.ukisha setiwa mtambo ili kuendelea kuzalisha gesi unatakiwa uweke mabaki ya chakula kama nyanya vitungu maganda ya viazi nk.kiasi cha nusu kilo ndani ya mtambo na maji ili kuzalisha gesi .gesi hii haina madhara kwa mazingira wala majanga ya kulipuka kama gesi zingine yanai hailipuki.mtambo hu ambao una shape ya simtank metengenezwa kitalamu gesi ii isha unaona na iijaa unaona.pia mtambo unapo zalisha gesi inatoa mbolea ambayo hainuki kabisa kama unabustani au mazao unaweza kutumia kwa mbolea. Mtambo huu au gesii hii inauzwa laki 550 .unaweza lipa kwa instalment au cash au ukatumia bank kulipa kidogo kidogo chini ya uwangalizi wa bank husika.

Kwa maelezo zaidi au kununa piga 0767746427 au 0779747427 au 0658746427 .usi ni PM piga hizo namba. au www.simgas.com
 
Mkuu, umesema unapewa na jiko la plate moja, je hiyo gas inaweza kutumika katika majiko mengine ya gesi na sio hilo lenu?
Hiyo kilo moja ya mabaki ya chakula inaweza kufua gesi ya kutumika muda gani? (inaweza kupika makande au makongoro?)
 
Waoooo..
ningeomba kuuliza hii imetengenezwa Tanzania??
maana nimefurahi kusoma hii article kweli..

AD

Unajua hata mimi nimekuwa inerested katika kujua hii kitu - sasa mleta taarifa hajatoa taarifa kamili ili tujue

Sasa imebidi kutafuta sehemu nyingine ili tuweze kuelimishana.

Anyway, kwa sababu huyu jamaa kasema inaitwa gesi550 - basi habari zake ni kama hizi

simgas.png

.

Gesi550.jpg

The Gesi 550 is the first and smallest Biogas system in the range of Urban digesters that will be available from Januari 2012. The system is designed for the amount of organic waste of an average (peri) urban family.
Specifications:

  • Capacity: 550 litre
  • Diameter: ca. 1 meter
  • Height: ca. 1.3 meter
  • Maximum daily input: 3 kg organic household waste
  • Output: ready-to-use gas and organic fertilizer
  • The system includes complete installation, a stove, all necessary user training and service.
Requirements:

  • Outside space of 1,5 m2
  • Input: organic waste 1-3 kg/day and water 5-15 L/day
Price and savings:

  • Introduction price: TSh 550,000/= including VAT.
  • The price includes complete installation and a stove, all necessary user training and service.
  • Average savings are TSh 1500/= per day, previously spend on charcoal.
  • A biogas system has an average payback time of one year.
  • Information about loan schemes is available on request.
During 2012, two larger systems within the Urban range will be launched. These systems have a larger capacity, and are designed for more commercial application.
SimGas is also developing a range of biogas systems for rural use, suitable for manure, kitchen- and agricultural waste. Check this website to stay informed!
IMG_1400kl2.jpg
Demonstration of Gesi550 and stove
IMG_1871kl.jpg
Gesi550 system installed
IMG_1890kl.jpg
Satisfied Biogas user

Gesi550.jpg

The
Gesi 550 is the first and smallest Biogas system in the range of Urban
digesters that will be available from Januari 2012. The system is
designed for the amount of organic waste of an average (peri) urban
family.

Specifications:

  • Capacity: 550 litre
  • Diameter: ca. 1 meter
  • Height: ca. 1.3 meter
  • Maximum daily input: 3 kg organic household waste
  • Output: ready-to-use gas and organic fertilizer
  • The system includes complete installation, a stove, all necessary
    user training and service.
Requirements:

  • Outside space of 1,5 m2
  • Input: organic waste 1-3 kg/day and water 5-15 L/day
Price and savings:

  • Introduction price: TSh 550,000/= including VAT.
  • The price includes complete installation and a stove, all necessary
    user training and service.
  • Average savings are TSh 1500/= per day, previously spend on charcoal.
  • A biogas system has an average payback time of one year.
  • Information about loan schemes is available on request.
During 2012, two larger systems within the Urban range
will be launched. These systems have a larger capacity, and are designed
for more commercial application.

SimGas is also developing a range of biogas systems for
rural use, suitable for manure, kitchen- and agricultural waste. Check
this website to stay informed!
IMG_1400kl2.jpg
Demonstration
of Gesi550 and
stove
IMG_1871kl.jpg
Gesi550
system installed
IMG_1890kl.jpg
Satisfied
Biogas user

Mkombozi yu aja.
 
l like it, inasadia kupunguza uchafu nyumbani...nyumba nyingi sana zinanuka sana kutokana na mlundikano wa mabaki ya chakula kukaa pamoja mda mrefu as you know mjini hamna majalala so watu wanakusanya for so long at least a week kungoja yale magari ya uchafu....i will buy this one after completing my house.
 
Hii ndio tunaita Appropriate technology (au intermediate technology), na ni muafaka kwanchi kama zetu. Bei ni reasonable kwa middle class ambao ni wachache Tanzania but kwa mwananchi wa kawaida bado ni ghali.

Wasiwasi wangu ni kwenye nguvu ya huo moto (isiwe kama moto poa) na masuala ya IP protection kwani teknolojia hii inaonekana ni rahisi kuigwa
 
Mkuu its well and good ila hizi lugha za kibiashara kwamba gesi unatomia haiishi kamwe ni kupotosha umma, tuseme kweli tu kwamba mnauza biogas digester na stove yake
 
Mkuu nikiangalia kwenye picha moja hapo juu ya huyo mama ambae yupo jikoni (Satisfied Biogas user) ... moto wa gesi unaonekana kama una nguvu kama kawaida kabisa ... kwa hiyo sidhani kama ni ule wa moto poa ... lakini ngoja yule jamaa alieleta mada arudi tena hapa kutujuza zaidi, maana sisi tumetafuta tafuta hii habari huku na huko kwenye google.

IMG_1890kl.jpg

Mleta habari kaingia mitini wakati sisi tupo interested tujue tukanunue ... aje basi ajibu maswali yetu?! .... aaagh!
.M
 
Mkuu its well and good ila hizi lugha za kibiashara kwamba gesi unatomia haiishi kamwe ni kupotosha umma, tuseme kweli tu kwamba mnauza biogas digester na stove yake

Mkuu, inaonekana wewe una-ufahamu mzuri juu ya hii kitu

Hebu tuelezee basi ili na sisi wengine tujue

Ni kitu gani ambacho anatupotosha?
Au infanyaje kazi?
Ukali/nguvu ya gesi yenyewe?
Inadumu muda gani?
Ina madhara kwa mtumiaji?
Na hii unayoiita Biogas digester .. ni nini tofauti yake na hicho anachotuambia?
Je inafaa kwa matumizi ya nyumbani au tuachane nayo?

Tuelezee mkuu
 
Amazing.
Kama kweli ni TZ nimefurahi sana..
Jamani zungusheni fensi kabla hawa wataalum wengine hawajachukua hii na kusema ni yao.. "legal rights "

@Dotworld.
Asante sana kwa maaelezo zaidi.
 
jamani cja kimbia nli enda jenga taifa kidogo.
Moto wa gesi hyo ni mkali marage yana ivaa vizuri sana.pia kinacho tendeka ni kwamba usipo weka mabaki ya chakula kama nivyo taja hapo juu gesi ina isha.ukinunua kuna sehemu utaona kama imepungua au imejaa uzalishwaji wake ni mabaki ya chakula unayo weka..pia kuna guarrantee ya miaka miwili hvyo ondoa shaka.
 
Mkuu, umesema unapewa na jiko la plate moja, je hiyo gas inaweza kutumika katika majiko mengine ya gesi na sio hilo lenu?
Hiyo kilo moja ya mabaki ya chakula inaweza kufua gesi ya kutumika muda gani? (inaweza kupika makande au makongoro?)

Makande marage unapika ,kama we hutapenda hili jiko la plate mmoja unaweza nunua jiko lingine la gesi ya bio gas. Yapo madkani
 
Mkuu its well and good ila hizi lugha za kibiashara kwamba gesi unatomia haiishi kamwe ni kupotosha umma, tuseme kweli tu kwamba mnauza biogas digester na stove yake

Its true hai ishii unaweka mabaki ya chakla gesi inazalishwa .na nimesema hapo juu,biashara ya kununua gesi inakuwa haipo.
 
Its true hai ishii unaweka mabaki ya chakla gesi inazalishwa .na nimesema hapo juu,biashara ya kununua gesi inakuwa haipo.
Mkuu twende polepole mabaki yoyote ya mimea au myama even kinyesi huwa yanatoa gesi yakishaoza (methane) ndio maana hata mtu akichafua hewa ila hewa inayotoka inaweza kuwaka.

Hivyo basi unapoweka mabaki ya chakula even kinyesi chochote kwenye huo mtungi wenu (au mtungi wowote for that matter yaani hata ukichukua pipa au debe) hivi vitu vinapoanza kuoza vinatoa hii gesi ambayo ukifungua stove yako inawaka, matumizi yako yakiwa makubwa zaidi ya gesi iliyopo inakwisha, na utashindwa kuendelea kutumia.., mpaka pale utakapozalisha gesi nyingine... (sasa hapo kutokwisha kwake ni kupi) ?.., ni sawa useme kwamba hata jiko la mafuta ya taa hayaishi sababu yakipungua unaongeza mengine kutoka dukani... (the only difference hapa ni kwamba unatengeneza your own gas) which is good by the way..,

issue yangu ipo kwenye huo upotoshaji wa hayo maneno.
 
hapo nime kuelewa lakini sisi hatumi wala hatufanyi hvyo ingekwa hvyo tunge uza hata elfu tano lakini tunacho fanya sisi ni kingine mtambo wetu unavyo ilisha mabaki ya chakula ina zalisha gesi pia kuna output ya mbolea inatoka bada ya gesi kuzalishwa ndio mana nasema hai ishi.nsame sitaweza ongelea sana sababu ntakuwa natoa technlogia .ila its different sio kama ulicho kingelea..pia biogas iliuwapo tangu zamani kwa mfumo uliousema ila .sisi tume advance kidogo
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom