Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

Wala sishangai

Tatizo letu huwa tunaenda uza/fanya biashara bila kufanya homework zetu ipasavyo.

mtu anauza eneo lake la madini wakati hajui alichonacho, au hata hajui legal docs alizonazo zinahusu nini, mwisho wa siku uzalishaji ukianza anaanza kulalamika kaibiwa.
Sasa hapa unategemea mwekezaji akushauri kuwa ulichonacho ni A, B na C, na sio A peke yake?

Nadhani approach ya serikali kwenye hii mikataba ni tatizo sana.
 
Pamoja na 10% lakini hata professionalism ya kuingia mikataba ya madini hatuna.

Kwa nchi kama marekani kuna American Association of Professional Landmen-AAPL), hapa kwetu hiki kitu hatuna na wala hakijulikani na wala hatuchukulii kama ni professional inayotakiwa. Ukisearch google unaweza jua kazi wanazofanya ulinganishe na hapa kwetu nani anafanya nini.

Hapa kwetu anayekuwepo wizarani ndio mshauri na msaini mkataba.
Comrade, kwani unafkiri policy makers hawajui hayo? Na tuna wachumi na wanasheria eg harvard graduate chenge..., wazuri kweli..., tatizo 10%, hizi ndo zinawavua watu utu..,
 
ama kweli kazi bado ipo, nadhani hatukuwa tayari kuruhusu uchimbaji wa madini na mafuta maana kote tunachakachuliwa tu
 
Wanabodi,
Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, mtu unaweza kupata wazimu, ukikamata SMG, unaweza kuwamiminia risasi Watanzania wenzetu wanauiuza nchi yetu na maliasili zake kwa bei ya bure kwa wageni kwa jina la wawekezaji kwa kisingizio kuwa sisi hatuna uwezo wa kuwekeza!.

Kumbe na kwenye gesi asili, Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupe!. Hii ni "day light Robbery"

Hebu soma hapa chini!.

After studying the experience from other countries, the following lessons were learnt:

  • Location of LNG Plant – should be constructed on land (not floating LNG on sea)

  • Reasons: Mainly for monitoring and control purposes – monitoring is challenging because of lack of technology and control means

  • There should be only one plant.
  • The GoT/Tanzanians/Public should have majority shares to the entire
Infrastructure say not less than 51% – to have authority say and decision
making for the benefit of the country. It may be on PPP model.

  • The proposed land for construction of LNG and other industries utilizing natural gas should be owned by the government. Facilities like roads, water and electricity should be put by GOT and appropriate tariff should be determined for the government.

  1. KWA GESI ALIYOTUJALIA MWENYEZI MUNGU, TUKIJIPANGA VIZURI, TUTAPATA MAENDELEO MAKUBWA KULIKO AMA KAMA SOUTH AFRICA.
  2. MAKAMPUNI MAKUBWA YA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI YANAELEWA NA YANATAKA TUBAKI KWENYE HALI YA KUTOELEWA HALI YA BIASHARA YA GESI. YANATULAGHAI KWA NJIA YA UZOEFU NA WALIONAO.
  3. GAS HATA KAMA IKO CHINI YA BAHARI AU CHINI YA ARIDHI NI MALI YETU NA INAYO VALUE YAKE NA SIO MWENYE UWEZO WA KUITOA ARIDHINI BASI NDIE MWENYE GAS DARWIN THIORY ISITUMIKE KWA MALIASILI YA NCHI YETU.

MY TAKE!.
1. Kumbe gesi yote inayovunwa nchini sasa na itakayoendelea kuvunwa miaka ijayo, siyo yetu!, ni ya mwekezaji!.

2. Eti gesi hiyo haina thamani yoyote kwetu huko chini ardhini ilipo, na wala sio mali yetu!, bali ni mali ya mwekezaji anayeichimba na sisi tunauziwa kwa bei ya soko, na faida yote ni ya mwekezaji anayechimba, ila taifa litafaidika na kodi!.

Nimeshindwa kuendelea kwa sasa kutokana na hasira!.

Mungu Ibariki Tanzania!.

Pasco.
Hii niliiposti mwezi July nikitoa angalizo la uwezekano wa kudhulumiwa kwenye gesi kama tunavyodhulumiwa kwenye madini!. Chacha watu wa Ntwara ndio wameanka, wanachema pale hachitoki chitu!. Mwanzo wameanza kwa maandamano baada ya hapa itafuatia "uchimungunye wala uchipepese..ni nchale tuu!".
P.
 
"President Jakaya Kikwete's decision goes against his own promise to the people of Mtwara in 2009, during one of his official tours that the region should be prepared to run industries," he noted. The two-page report questions the need to construct gas turbines to produce electricity in Dar es Salaam when there is an area already in Mtwara readily available for construction of such turbines....."

Source:allAfrica.com: Tanzania: Mtwara Residents Oppose Gas Pipeline Construction Plan

Hili si jambo jema kwa mkuu wa kaya kusema A leo na kesho akasema niliposema A nilimaanisha B kwa hiyo tumieni B.
 
Most of the problems in our country are caused by two reasons, we act without thinking or we keep thinking without acting. But i believe all the shit happening in our country one day will come to an end because i belive changes are inevitable. change will certainly come to its way. And God is above all things. Just keep praying for this country.

Wanabodi,

Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, mtu unaweza kupata wazimu, ukikamata SMG, unaweza kuwamiminia risasi Watanzania wenzetu wanauiuza nchi yetu na maliasili zake kwa bei ya bure kwa wageni kwa jina la wawekezaji kwa kisingizio kuwa sisi hatuna uwezo wa kuwekeza!.

Kumbe na kwenye gesi asili, Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupe!. Hii ni "day light Robbery"

Hebu soma hapa chini!.

After studying the experience from other countries, the following lessons were learnt:

  • Location of LNG Plant – should be constructed on land (not floating LNG
on sea)

  • Reasons: Mainly for monitoring and control purposes – monitoring is challenging because of lack of technology and control means

  • There should be only one plant.
  • The GoT/Tanzanians/Public should have majority shares to the entire
Infrastructure say not less than 51% – to have authority say and decision
making for the benefit of the country. It may be on PPP model.

  • The proposed land for construction of LNG and other industries utilizing natural gas should be owned by the government. Facilities like roads, water and electricity should be put by GOT and appropriate tariff should be determined for the government.

  1. KWA GESI ALIYOTUJALIA MWENYEZI MUNGU, TUKIJIPANGA VIZURI, TUTAPATA MAENDELEO MAKUBWA KULIKO AMA KAMA SOUTH AFRICA.
  2. MAKAMPUNI MAKUBWA YA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI YANAELEWA NA YANATAKA TUBAKI KWENYE HALI YA KUTOELEWA HALI YA BIASHARA YA GESI. YANATULAGHAI KWA NJIA YA UZOEFU NA WALIONAO.
  3. GAS HATA KAMA IKO CHINI YA BAHARI AU CHINI YA ARIDHI NI MALI YETU NA INAYO VALUE YAKE NA SIO MWENYE UWEZO WA KUITOA ARIDHINI BASI NDIE MWENYE GAS DARWIN THIORY ISITUMIKE KWA MALIASILI YA NCHI YETU.

MY TAKE!.
1. Kumbe gesi yote inayovunwa nchini sasa na itakayoendelea kuvunwa miaka ijayo, siyo yetu!, ni ya mwekezaji!.

2. Eti gesi hiyo haina thamani yoyote kwetu huko chini ardhini ilipo, na wala sio mali yetu!, bali ni mali ya mwekezaji anayeichimba na sisi tunauziwa kwa bei ya soko, na faida yote ni ya mwekezaji anayechimba, ila taifa litafaidika na kodi!.

Nimeshindwa kuendelea kwa sasa kutokana na hasira!.

Mungu Ibariki Tanzania!.

Pasco.
 
Jamani nimesoma uzi huu kifua kikanibana kwa sababu ya hasira. Hivi kweli tutapata lini viongozi wenye uchungu na uchu wa maendeleo ya nchi yetu bila ya wao kufikiria masilahi binafsi! Inauma sana. Anyway time solves problems, let us wait for it.
 
Ni nchi ya kipekee hii waweza kuja na mtaji wa Tshs 750,000 ukaweza kutengeneza mabilioni. Refer history ya Alex Stewart
 
Jmani bungeni nawatetea kwani mh. Johh John Mnyika amelalamika sana kuhusu hili na inatakiwa wanajf tumuunge mkono bunge halijahusishwa kwa namna yoyote ile.
 
Nilifikiri tungejifunza kutokana na madudu tuliyofanya kwenye migodi ya dhahabu! Kumbe bado tumelala usingizi wa pono.
Nadhani inabidi hali ya hewa ibadilike angalau kwa kipindi cha mwaka mmoja ili heshima ipatikane nchi hii.

Mkuu Ndibalema, mimi nafikiri kuwa hapa sio suala la kujifunza maana sio kwamba hatujui tunayoyatenda bali ni kuwa wale tunaowaamini kututendea kwa niaba yetu yetu wanajua kabisa wanachokifanya kwa ajili ya masilahi yao binafsi na familia zao, koo zao na marafiki zao pale wanaposaini mikataba Kingese ngese:A S angry:.

Nipo pamoja nawe sana katika hili la kwamba inabidi Hali ya Hewa ibadilike japo kwa mwaka mmoja kwanza ili watu tuheshimiane.
Na wa kuibadilisha ni mimi, wewe na yule.
Ni kiasi cha kupata ujasiri tu kama wa walee wa medani ya Tahriri.
SHIME!
 
Jmani bungeni nawatetea kwani mh. Johh John Mnyika amelalamika sana kuhusu hili na inatakiwa wanajf tumuunge mkono bunge halijahusishwa kwa namna yoyote ile.

Ni kweli, kamanda Mnyika alishahoji na kuandika mara kadhaa na hivi majuzi ametoa hii kwa vyombo vya habari JOHN MNYIKA: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mimi najiuliza jinsi mikataba hii inavyotulipisha sisi na wajukuu zetu ambao hawajazaliwa, je kweli laana hizi hazitaondoka nao wanaozitengeneza?
 
Ges haitotusaidia kwa lolote,uchu wa viongozi kujifaidsha wao wenyw ni mkubwa kuliko maslahi ya watz ,hakuna anaejali faida au manufaa kwa watanzania.Tumewapa mamlaka ya kufanya maamuzi kwa niaba yetu,tofauti na makusudio wanafanya maamuzi kwa manufaa yao na maisha yao.
 
Ofcourse gas ni ya mwekezaji,na ndio model inayotumika dunia nzima,kama mnataka serikali (United Republic) wawe shareholder basi inabidi wafanye investment kama wawekezaji wengine,lakini watapata wapi billions and technology za kutafuta gas huku hata kulipa mishahara ya wafanyakazi hawawezi?

kilichobakia ni kuwakabidhi investors then wananchi wako wapate kazi na ukusanye kodi yako kama wakipata faida lakini,haya mambo ya madini,mafuta,gas etc ni very complicated business kwa nchi maskini na mara nyingi wanaofaidika ni investors,mkumbuke kwenye capitalist system anayefaidika ni yule anayebeba risk ....gas hata kama ipo Tanzania haiotakuwa ya bure na wala haitakuwa rahisi na wazalishaji wa umeme kama Tanesco watauziwa kwa bei ya soko na hakuna upendeleo labda serikali iingilie kati na kuwapa incetives investors kama kuwapunguzia kodi then may be wataweza kupunguza bei kidogo
 
Tukija kushagaa tutakuta gesi imeisha

Wakati sisi tunakaa na kujadiliana watu kule wameshaanza kuchimba na ulinzi wa jeshi JWTZ umewekwa kwaajili ya kujihami na maharamia na wote watakaoleta fyoko fyoko[ Wananchi]. Hii ndo Tanzania bhana hahaha.:confused2:
 
Ofcourse gas ni ya mwekezaji,na ndio model inayotumika dunia nzima,kama mnataka serikali (United Republic) wawe shareholder basi inabidi wafanye investment kama wawekezaji wengine,lakini watapata wapi billions and technology za kutafuta gas huku hata kulipa mishahara ya wafanyakazi hawawezi? kilichobakia ni kuwakabidhi investors then wananchi wako wapate kazi na ukusanye kodi yako kama wakipata faida lakini,haya mambo ya madini,mafuta,gas etc ni very complicated business kwa nchi maskini na mara nyingi wanaofaidika ni investors,mkumbuke kwenye capitalist system anayefaidika ni yule anayebeba risk ....gas hata kama ipo Tanzania haiotakuwa ya bure na wala haitakuwa rahisi na wazalishaji wa umeme kama Tanesco watauziwa kwa bei ya soko na hakuna upendeleo labda serikali iingilie kati na kuwapa incetives investors kama kuwapunguzia kodi then may be wataweza kupunguza bei kidogo

Hapooo mimi ndipo panaponiumaga zaidi. Ni wananchi gani watakaoajiriwa kwa elimu hii tuliyonayo? may those who will volunteer themselves to dig pipes holes na kuwafukuza wazawa wa maeneo ya karibu ili wapate kuweka makazi ya wawekezaji. Kama wakipata FAIDA hahahaa, Hya yalianza kwenye mikataba ya madini na bado mnataka kuyaleta kwenye mikataba ya gas Oh God save Tanzanians
 
Nawashangaa sana hata wanaolilia uraia wa nchi mbili!!!nikiweza kuukana huu nilionao,aaah....ntaondoka kabisa...na wala sitasikiliza habari za huku.....
 
Pamoja na 10% lakini hata professionalism ya kuingia mikataba ya madini hatuna.

Kwa nchi kama marekani kuna (
American Association of Professional Landmen-AAPL), hapa kwetu hiki kitu hatuna na wala hakijulikani na wala hatuchukulii kama ni professional inayotakiwa. Ukisearch google unaweza jua kazi wanazofanya ulinganishe na hapa kwetu nani anafanya nini.

Hapa kwetu anayekuwepo wizarani ndio mshauri na msaini mkataba.

You're being rather good to this government. Unaamini "ignorance" ndio tatizo kubwa kiasi hicho? Unadhani hata huo ujuzi ungekuwepo kwa wazawa/wananchi ungehitajika? Watafute waliko hivi sasa watumishi wa serikali/umma waliokuwa na ujuzi wa kusaidia taifa kwenye majadiliano ya mikataba ya kibiashara/uwekezaji halafu wakaifanya kazi hiyo kikwelikweli kwa umakini wa hali ya juu.

Ukitaka kukatisha career yako mapema serikalini, basi leta "kujua" kwenye maslahi ya wenye nazo. Waliobahatika walihama nchi mapema na ujuzi wao wanafanya kazi kwenye mashirika ya kimataifa au serikali za wenzetu makini zaidi. Waliokwama ama wamepotezewa au wameishia kuonekana malofa au kuamua "kujiunga nao" hata katika ngazi ya utwana tu.
 
50 Reactions
Reply
Back
Top Bottom