German Scientist: No such thing as HIV

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Jul 1, 2012
3,598
1,539
Wanasayansi wa kijerumani wameeleza hakuna kitu kiitwacho HIV(virusi) chenye kuleta maambukizi ya virusi vya ukimwi, maelezo zaidi tazama katika link hii.

http://www.youtube.com/watch?v=3jKK_fzWDAY&sns=smsj
 
Aisee cjui tunatoka na kuelekea wapi, maana hii inaonekana HIV umekuwa mradi wa wakubwa ambao umeongeza ajira, viwanda, biashara imekua etc.

Nimefuatilia hiyo you tube pia nika google yaani naona kama naota vile japo google nayo haiaminiki kivile.

Chek hii interview

www.ourcivilisation.com/../index.htm
 
ubepari ni mfumo mbaya sana watu wako radhi kucreate kitu ili wakati wengine wanataeseka wengine wananeemeka!
Hela izi ata Yuda alimuuza Yesu
 
Wanasayansi wa kijerumani wameeleza hakuna kitu kiitwacho HIV(virusi) chenye kuleta maambukizi ya virusi vya ukimwi, maelezo zaidi tazama katika link hii.

Austrian German Biologist Proves "HIV" Does Not Exist - YouTube

''Then cure AIDS if you know so much''

I did not cause AIDS, why should I cure of it? Man created AIDS,and most deliberately,I must add. Why do you not insist they give unto you the cure and the antidote which was in place before the introduction of the virus?''
 
Ulishawahi kutizama video hii hapa chini? mambo mengine hapa duniani ukiyajuwa unaweza ukaishia ukichaa!
[video=youtube_share;JTxvmKHYajQ]http://youtu.be/JTxvmKHYajQ[/video]

Haha..mkuu nimwipenda statment yako ya mwisho mkuu! and i think you are right.
 
Back
Top Bottom