Nyegezi mwanza imewezekana its 14 kms fro town kwa hiyo ya Bunju siyo ishu tena
Issue Hapa ni Movement kwa jiji la Dar Ni Very Poor!! Na Bunju is like another world. Fikiria tu Ubungo, watu wanaotoka mbagala kwenda Mbeya na Mikoa mingine wanalazimika kulala stend ya Ubungo au Guest House ili waweze kuwahi mabasi Kesho yake!! Kwa hiyo Kabla Hujalinganisha na Ulaya Fikiria Kwanza Upo Bongo!! Nchi ambayo ni Very poor in Planning!