Gereza ni gereza tu iwe keko au @ny ......

Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
470
Katika soma soma news mtandoni leo nimeona makala zikielezea Bilionea tapeli R Allen Stanford ambaye alineemeka na pesa za watu kwa kwa style ile iayojulikana kwa wengi hapa bongo kama UPATU au DECCI. Huyu jamaa alikuwa anaitu kinaitwa PONZI scheme. ambayo imewafraud watu karibu $ 7 Billion

wakatai anatumia hea za watu alipata sifa kama hizi

.......On 1 November 2006, Stanford was appointed by Queen Elizabeth II as Knight Commander of the Order of the Nation (KCN) of Antigua and Barbuda.[SUP][55][/SUP]Prince Edward, Earl of Wessex joined the then Governor-General of Antigua and Barbuda, Sir James Carlisle, to make this announcement during the Silver Jubilee Independence Day Celebration..... source wikipedia

Soma zaidi habari za kesi yake kweye hii NY times

Lakini kalli kuliko zote iliyonichekesha kama si kunishtua nilipoeenda youtube nikakutana na clipjinsi bilionea huyu aivyopata kichapo kutoka kwa inmates siku za nyuma

[video=youtube;b8UZriFPBM8]http://youtu.be/XotJ142oU5g[/video]

Haya sisi bongo inashangaza!!!!! wakitaka kukamatwa mafisadi inabidi magereza yakarabatiwe kwenda na hali yao waliyotoka nayo mtaani.Kibonngo bongo huyu stanford nyumba moja masaki ingebadilishwa kuwa gereza kwa ajili yake........... lakini huko USA alibananishwa na wenzake.............

Zaidi ya hayo kumbe jela na gereza ni gereza tu iwe North pole au south pole ...lol
 
Back
Top Bottom