fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,891
- 2,367
Alaah,kumbe tatizo lako ni kumuuliza mtu ambae hakuhusika katika operation,sasa kama hakuhusika ikawaje kaleta habari ambayo yeye hakuhusika?Heee...sasa si nimekujibu wewe au???na kama ni pongezi hata mm nimempa pongezi kwa kutumia Muda wake Kutafuta hizo taarifa Google na kutafasiri..
Naona unataka kurusha ngumi hewani...taratibu... taratibu rafiki..
Siwezi kumuonea wivu kwa pongezi anazopewa kwani amepoteza Muda wake kugoogle na kusikiliza interviews mbali mbali kuhusu hyo operation..
Amefanya Kazi kubwa ila siwezi kumuhoji chochote...sana sana naweza kuongezea pale ambapo naona hakupaweka sawa...
Mkuu wangu mm sina tatizo lolote...Nina tatizo na mtu anayemuhoji mtu ambaye hakuhusika kwenye operation..
Huna lolote wewe ni wivu tu unakusumbua,mleta mada anastahili pongezi na anastahili kuulizwa huna sababu ya msingi ya kupinga asiulizwe!