Gerald Hando na kipindi cha POWER BREAKFAST - jicho la ngómbe

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Leo Asbh Gerald hando amenigusa sana na kusema kama kweli viongozi wetu wana mambo yao katika shule za kata, na kuzipa majina yao, Sasa majina ya shule za kata ni ya viongozi tena wanasiasa wengine mafisadi tu, Je sisi kama watz tunalipokeaje hili la Gerald Hando, Excellent, Hata Jana nilisikia kipindi cha JAHAZI, Kayanda alifanya vizuri sana na aliweza kusema vitu vya maana kwa kutaja bei zilivyopanda, Je KIBONDE nataka aondoke katika hicho kipindi na aendelee na mc tu.

at least wanajaribu sasa ispokuwa KIBONDE
 
Gerald Hando ni makini sana katika kudadisi mambo...Kama Clouds wanataka kupata wasikilizaji kibonde hafai katika jahazi. Kwanza kwa sasa hivi kuanzia jioni watu wengi wanasikiliza kipindi cha HOJA YA LEO toka radio one.... Jahazi imetawaliwa na hisia za kujikomba kwa serikali.
 
At least umeniambia cha kusikiliza maana sikui hizi nimekuwa nikityoka ofsini naplay CDs tu, hii imekuwa hivi toka kipindi kile Kibonde alipomfungia kibwebwe SUGU kwa matusi ya nguoni kipindi kizima.
 
Nilishasahau kama kuna radio inaitwa Clouds!!!! Labda mtoa hoja anaweza kunishawishi nirudi tena kuisikiliza lakini sio kipindi cha kibonde
 
Gerald Hando na Kayanda ndo nawaona wenye upeo wa kuelewa mambo, huyu Kibonge kajawa fikra za kidumu chama cha mapinduzi kiasi kwamba hawezi kufanya uchambuzi ama kutangaza habari akiwa neutral (bila kuegemea upande wowote)!

Kibonde anaendekeza njaa, anajua akiwaeleza ukweli CCM na serikali yake watakuwa hawampi kazi ya u-MC kwenye sherehe zao!! So yuko tayari kufanya chochote kuwafurahisha watawala ili mradi mkono uingie kinywani!
 
Gerald Hando ni makini sana katika kudadisi mambo...Kama Clouds wanataka kupata wasikilizaji kibonde hafai katika jahazi. Kwanza kwa sasa hivi kuanzia jioni watu wengi wanasikiliza kipindi cha HOJA YA LEO toka radio one.... Jahazi imetawaliwa na hisia za kujikomba kwa serikali.
Tatizo siyo kibonde jamani ni nguvu ya pesa inayoletwa na mafisadi
 
Kibonde ni mgonjwa jamani hivyo tusimlaumu sana kumbukeni ugonjwa wake unastages nyingi sana sasa tusimlaumu bure...
ikiwezekana ashauriwe boss wake kibonge is sick wajameni...
 
Kibonde ni mgonjwa jamani hivyo tusimlaumu sana kumbukeni ugonjwa wake unastages nyingi sana sasa tusimlaumu bure...
ikiwezekana ashauriwe boss wake kibonge is sick wajameni...

Gerald hata mimi namkubali sana, ana sifa za kutosha kumfanya mtangazaji mzuri, ikiwemo ya sense of humour
 
Kibonde ana haribu JAHAZI inaonesha ni enterntainer si proffesional,hajui law na ethics za broadcasting.Aende darasani.
 
Gerald Hando ni makini sana katika kudadisi mambo...Kama Clouds wanataka kupata wasikilizaji kibonde hafai katika jahazi. Kwanza kwa sasa hivi kuanzia jioni watu wengi wanasikiliza kipindi cha HOJA YA LEO toka radio one.... Jahazi imetawaliwa na hisia za kujikomba kwa serikali.
noooo....mie nasikiiza Blass 100.5 na DJ JD matlou.....mijitu mingine bana.....huo muda ni wa ku relax na kuvuta foleni unasikiiza hoja za nini?
 
Gerald Hando is good, anajua kudadavua mambo. Yule Kibonde is rubbish...!!!!
 
Yeyote yule anayecfia madudu ya selikali ya ccm atakua na uwezo mdogo wa kupambanua mambo au ananufaika na ufisadi. KIBONDE yumo kwenye kundi gani?
 
Kwa kibonde nathubutu kusema: BORA UMASKINI WA PESA KULIKO UMASKINI WA FIKRA! - Kibonde amepoteza wasikilizaji wengi sana, sio tu wa kipindi cha jahazi bali hata vipindi vingi vinginevyo vya Clouds Radio. Kuna kipindi nilifikiri wanamsingizia, lakini baada ya kufuatilia vipindi vyake nilielewa kuwa ana mapungufu makubwa. Uongozi wa Clouds unapaswa kumrudisha kwenye mstari...
 
Gerald Hando is too god kuendelea kuwa clouds. Clouds imeoza, imepoteza mvuto, muelekeo kisa utumwa wa pesa!
 
Back
Top Bottom