H1N1
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 4,217
- 1,579
madaktari niwabinafsi nawala hawatetei maslahi ya watz bali yakwao,and it shows that the devil himself ndio anawatumia,serikali hiyo ndio iliwasomesha in the first place inabidi wananchi ss waamke na we rebuke these so called drz wenyewe ni nani wawe wakidemand million za pesa wapewe bana kila mtu ana umuhimu wake kwenye society yy yakimkuta huko atahitaji lawyer wakumtetea or aende magereza,so msijione nyie nibora kila mtu amesoma na anaumuhimu wake,watu wazima na degree zenu which u toiled to get them mnaimba nyimbo za watoto ,,,,,mbona hatukuandamana mlipo mpasua mtu mguu badala ya kichwa,,,,,
Kama wewe hukugoma wala kuandamana basi na MADR waige uzuzu wako ? Huwezi fikiri chanzo ni hayo mazingira magumu ya kazi ? wake up MTZ