Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 3,839
- 3,083
Anakemea mgomo,???hata yeye anafanya kazi kwenye mazingira magumu,anahofia kugoma maana hajiamini,,,,,mwenzie masoud Kipanya na Phina hawakuridhika wakagoma,,,,,kwanza wamekufa na njaa????kama wewe una taaluma na vitendea kazi vya taaluma hupati ufanisi wa kazi utatokea wapi????
Labda huyo Mr PB aseme hapa kwanini walitaka kugoma baada ya kupata shida ya kumhoji baloz wa US???KWANINI WALIAZIMIA KUGOMA????
Acheni kuumiza kichwa kumwongelea mpuuzi huyo... anafahamika, kiwango chake cha kufikiri kinafahamika, hajiamini na hiyo ni sifa ya walamba miguu wote duniani... anataka na yeye atoke kwenye njaa...bado kuolewa tu!!!