Gerald Hando apewa onyo baada ya kuhudhuria show ya VINEGA

kua kinega sio lazima uimbe.
Wewe kama unatetea haki za watu wanaonyonywa na kudhulumiwa haki zao hasa wasanii au unaguswa na hilo jambo basi wewe ni kinega. ndo maana sasa hivi vinega wapo kila sehemu,mahospitalini,mitandaoni, vyuoni na kila sehemu.
 
WAendelee kujikomba na njaa zao siku wakiambiwa kufanya kazi wafu redio lazima ugeuzwe watakataa au ?
 
Back
Top Bottom