Gerald Hando ana uelewa mdogo wa kuhusu posho

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
NDUGU WANA JF, TULIJADILI HILI maana leo asbh nimesikia Gerald hando akiongea sana kuhusu Posho za wabunge. Kwa mtizamo wangu naona kama Gerald hando anaupeo mdogo sana wa kutafakari mambo na kuchambua. Hao Clouds mbona wasiweke simu mezani waruhusu watu wachangie kwenye maada zao. Hili la zito na NCCR naona kama wapo sahihi kila mbunge analipwa PERDIEM kwa siku. Hiyo Posho ya nini tena. Imagine wewe amesafiri kikazi mbeya. Utalipwa perdiem ya kukuwezesha kula jioni na kulala. Je kuna umhm wa posho. Hata kama zitto amelitambua leo lakini ameonyesha ukomavu. Na je kama wabunge wengine hawasupport hatuoni kama wanatusaliti tusiwachague temu ijayo hata kama wao ni upinzani.

Na hayo nawakilisha mnalionaje hili.
 
Hao madogo wa clouds Fm wanamatatizo sana,ila kuna radio nyingi za kusikiliza achana nao.
 
Kama mtu uko serious kusikiliza mada zikijadiliwa kwanini usikilize clouds? Hiyo si ni radio ya udaku? Hawana lolote ndo maana hawathubuti kuruhusu wasikilizaji kupiga simu na kuchangia.

By the way, watangazaji wa humo ni vilaza wala shule hawana, unategemea wajadili nini cha maana?
 
NDUGU WANA JF, TULIJADILI HILI maana leo asbh nimesikia Gerald hando akiongea sana kuhusu Posho za wabunge. Kwa mtizamo wangu naona kama Gerald hando anaupeo mdogo sana wa kutafakari mambo na kuchambua. Hao Clouds mbona wasiweke simu mezani waruhusu watu wachangie kwenye maada zao. Hili la zito na NCCR naona kama wapo sahihi kila mbunge analipwa PERDIEM kwa siku. Hiyo Posho ya nini tena. Imagine wewe amesafiri kikazi mbeya. Utalipwa perdiem ya kukuwezesha kula jioni na kulala. Je kuna umhm wa posho. Hata kama zitto amelitambua leo lakini ameonyesha ukomavu. Na je kama wabunge wengine hawasupport hatuoni kama wanatusaliti tusiwachague temu ijayo hata kama wao ni upinzani.

Na hayo nawakilisha mnalionaje hili.

Huyo hana uelewa wa kila kitu ...mtu serious wa umri wake hawezi kufanya kazi anayofanya sasa hapo clouds...akili yake ni ndogo ndo maana anaongea mambo ya kitoto sana
 
Nilishaacha kuwasikiliza hao vilaza, hao ni mamisheni town wanatumia midia kupata viposho vya mafisadi wa serikalini achana nao. Yaani kwa kweli bora nitembee redio nimezima kuliko kusikiliza clouds fm.
 
njaa zinasumbua watu ila gerald mbona yuko ok sana? kuna yule jamaa anayechambuaga magazeti, yeye magazeti yake habari leo na uhuru..
 
Kama mtu uko serious kusikiliza mada zikijadiliwa kwanini usikilize clouds? Hiyo si ni radio ya udaku? Hawana lolote ndo maana hawathubuti kuruhusu wasikilizaji kupiga simu na kuchangia.

By the way, watangazaji wa humo ni vilaza wala shule hawana, unategemea wajadili nini cha maana?
Namsikilizaga Dr Isack tu akimaliza tu KWINYU! Nahama wengine wote makalio tu
 
njaa zinasumbua watu ila gerald mbona yuko ok sana? kuna yule jamaa anayechambuaga magazeti, yeye magazeti yake habari leo na uhuru..

Anaitwa Paul James. Yani yeye akikuta habari inayoponda CCM, anapotezea kuwa yeye hahusiki na siasa. Ila akikuta inayoponda upinzani, atasoma hadi nukta...
 
ana akili zote huyo ingawa uwezo sijui - ila ana sababu zake zinazomsukuma aseme hivyo - utapia mlo ukiwa mojawapo.
 
njaa zinasumbua watu ila gerald mbona yuko ok sana? kuna yule jamaa anayechambuaga magazeti, yeye magazeti yake habari leo na uhuru..
samora10:hata G.Hando naye anaboa sana,ndio maana sisi wengine ni mwendo wa kusikiliza sport tu saa 3 usiku,maaana kwenye sport hakuna longo longo kama P.Breakfast na Jahazi(Kibonde).
 
NDUGU WANA JF, TULIJADILI HILI maana leo asbh nimesikia Gerald hando akiongea sana kuhusu Posho za wabunge. Kwa mtizamo wangu naona kama Gerald hando anaupeo mdogo sana wa kutafakari mambo na kuchambua. Hao Clouds mbona wasiweke simu mezani waruhusu watu wachangie kwenye maada zao. Hili la zito na NCCR naona kama wapo sahihi kila mbunge analipwa PERDIEM kwa siku. Hiyo Posho ya nini tena. Imagine wewe amesafiri kikazi mbeya. Utalipwa perdiem ya kukuwezesha kula jioni na kulala. Je kuna umhm wa posho. Hata kama zitto amelitambua leo lakini ameonyesha ukomavu. Na je kama wabunge wengine hawasupport hatuoni kama wanatusaliti tusiwachague temu ijayo hata kama wao ni upinzani.

Na hayo nawakilisha mnalionaje hili.

hapo kwenye red, au ndo wewe nini unajaribu kutangaza jina kwa great thinkers? au huyo mwenye jina kakutuma ili ajulikane kwa great thinkers, sioni sababu ya kumjadili, kuna vichwa vya kujadili sio hao watangazaji wa redio za udaku.
 
njaa zinasumbua watu ila gerald mbona yuko ok sana? kuna yule jamaa anayechambuaga magazeti, yeye magazeti yake habari leo na uhuru..

pj uyo ....magazet ya chama daily....hah hah haha!!!!!!

lakin kwenye ilo kund bora kdg uyo hando ...yule babra ndo daaahh kichwan kweupeeeeeeeeee yeye anajua kugombeza wenzake tu km skul; kids...saut kaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaliii na chngereza cha face book....as if iyo radio ni ya kiswanglish...usista do mpk kazin jaman mweee...
 
Mimi Binafsi nitaendelea kusikiliza sport extra maana huko hakuna cha kibonde wala kilaza///
 
jamani mi nafikiri boss wa clouds ndio wana matatizo ..maana ukija kunngalia wengi shida yao ni elimu ndogo kwa wanachokifanya na pengine sababu mwanaume nashindwa kuongea..ila si shida yake shida za kampuni kuajiri cheap lbr zinawacost wanaogopa wenye shule zao wanaoosoma nyakati awawezi ongea upuuzi wa clouds nasema hivi nimeshona thread za CLOUDS karibu watangazaji wa kila kipindi sasa naona amebaki RUGE na Joseph Hawa tukiwaongelea nahisi tutairekebisha na clouds na kuwa Babu kubwa Tanzania ni redio nzuri ila wamejaa mafimindi watupu
 
Back
Top Bottom