GEOTHERMAL TANZANIA
New Member
- Jul 5, 2016
- 3
- 1
Tanzania sasa kumekucha nishati ya joto ardhi ambayo haikuwahi kuzungumziwa nchini kwetu sasa sio wakati wa kuisikia tu kwa wenzetu wataalamu wetu na wengine kutoka mataifa mbalimbali tafiti zimefanyika kwa kina na kugundua kuwa nishati hiyo ambayo ni (yakudumu) sustainable ipo kwa kiasi kikubwa sana ndani ya nchi yetu.
Hivyo basi ni jukumu letu sisi kuhakikisha kuwa nishati hiyo tunaifikia kwa ajili ya kuinua maisha ya mtanzania na kupunguza gharama za maisha kwa kuhakikisha tatizo la umeme ambalo limekuwa likitusumbua kwa muda sasa linasahaulika masikioni mwa watanzania wote kwa ujumla kwani nishati hiyo ni RENEWABLE RESOURCE ukilinganisha na vyanzo vingine vya uzalishaji wa umeme kama Mafuta, Gesi n.k